The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hatuna maneno mengi [emoji170][emoji170][emoji1690][emoji1690][emoji1690][emoji1690][emoji1690][emoji170][emoji1][emoji1] City

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji2424] Pep Guardiola: "Nathan Ake is really good in the duels in the box, defending the far post and set pieces is an extra bonus. He is an exceptional guy, there was a period where he didn’t play and he never complained once."
 
.
FB_IMG_16748832969804224.jpg
 
Acheni makasiriko. Kila mtu na wakati wake. Si mtakuja pale tar 15 Feb, maneno mengi ya nini..

Niwaambie tu, Emirates hamuwezi kuondoka na point 3. Mmepata sana basi sare.
Uwanja mgumu uingereza ni anfield tu ...

Hapo Emirates ni training ground ya man city tumewagonga back to back mwaka wa 7 huu tunatoka na point 6 kila msimu ....
 
Stones ndio hivyo tena.

harmstring injury
Bora aisee Jana alikuwa ananikera kukabia macho mpaka trossard kidogo atufunge ...sema Ortega alikuwa kwenye form ..


Siku zote Laporte Yuko vzuri ,proper CB
 
Bora aisee Jana alikuwa ananikera kukabia macho mpaka trossard kidogo atufunge ...sema Ortega alikuwa kwenye form ..


Siku zote Laporte Yuko vzuri ,proper CB
Ruben dias awe anaanza sasa..
kwamba haja recover tu mpaka muda huu?
 
Mnamtoa Cancelo, mna akili kweli?
Jamaa kazinguana na pep na anataka kuondoka.

Unataka apigiwe magoti bro?

Ni mchezaji mzuri ila ndio hataki kubaki...kama tuliweza kumuachia zinchenko, sane, why yeye?

Wameshamwambia akipata timu itakayopeleka ofa ya kueleweka wanamuachia akikosa basi avumilie.
Kule anaenda kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu.
 
Joao Cancelo will join the german side Bayern Munich on an initial loan deal until the end of the season.

Bayern will have an option to make a move permanent for £61 million.

City Xtra.
 
According to A Spor, Fenerbahce are ready to make the move to sign Kyle Walker from Manchester city at the summer transfer window.

@HITC
 
Ni wakati wa kufanya rebuild.

Hawa wachezaji kuna uwezekano mkubwa wasiwepo msimu ujao.

-Joao cancelo (huyu nahisi Bayern watamnunua mazima)

-Ilkay Gundogan ( mkataba unaisha)

-Bernado silva (anataka kuondoka)

-Kyle walker ( fenerbahce wanataka kuleta ofa)

-Aymeric laporte.
 
Kwenye left back kwa sasa tegemeo ni Ake..

Sergio Gomez hamna kitu pale.

Kwenye center back nategemea kuona patnership ya Dias na Laporte ikirudi maana stones ni injury.

Kwenye right back inabidi walker awe anaanza kwenye mechi tunazocheza na timu zenye mawinga wahuni.

Lewis ana potential kubwa sana ila bado hana experience ya kutosha. Siku ya arsenal alipwaya akawa anamu expose sana stones kwa trossard. Walker hizo ndio mechi zake.
 
Back
Top Bottom