verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
Timu ya kwenda mechi 12 ipo ila fighting spirit ya kutupeleka hizo game ndio hakuna.Iyo 12+ win sio kwa msimu huu, hamna iyo timu acheni kukariri vitu
Mkuu, huyo sane na aguero msimu uliopita wakati tunaenda mechi 10+ walikuwepo?Timu ya kwenda 12 + win ni ile ya kina aguero ,sane , sterling wa motooo.....
Sasa hii front line ya grealish - haaland - Mahrez - foden .....Bado sanaaa,.....
Ndio maana Kwa Sasa kule mbele kupeleka mashambulizi sio Sana ,hatuna front 3 kalii , grealish anapoza mashambulizi ,Mahrez ni mtu wa kukumbatia mpira ,haaland bila cross kumpeleka ni majanga ....shots on target ndio maana tunamaliza game ni chache .....
Huko kukosa fighting spirit ndio kufeli kwenyewe.Timu ya kwenda mechi 12 ipo ila fighting spirit ya kutupeleka hizo game ndio hakuna.
mkuu huwa unaangalia hata mechi za city au unakuja ku judge tu?
umeona namna uchezaji wa foden, cancelo, walker, laporte, bernado na hata muda mwingine kdb ulivyo?
Mkuu, sijakataa kwamba msimu huu tumedrop ilaHuko kukosa fighting spirit ndio kufeli kwenyewe.
Tujipange na msimu ujao tu, tuwaachie wanaotaka kwenda waende, turefresh kikosi na kukijenga upya.
Tukiendelea kuwang'ang'ania kina gundo, walker laporte na bernado wakati wenyewe wameshachoka kukaa hapo matokeo yake tutaanza "pep out".
Mkuu niamini mim ,front line yaMkuu, huyo sane na aguero msimu uliopita wakati tunaenda mechi 10+ walikuwepo?
sterling alikuwa regular starter?
Hao grealish na mahrez si ndio walikuwa ma regular starter last season?
Mkuu,Mkuu niamini mim ,front line ya
Grealish --haaland --- Mahrez ...
Ni Moja kati ya front line ambazo sio machachari kama zilizopita ..unajua kwanin hatuna shots on target nyingi ,Kwa sababu winger zetu Mahrez na grealish sio machachari kwenda mbele ....wale wanajua kuficha mpira mguuni na kupoza mashambulizi ili kusubili wengine waje kwenye box ,badala ya kwenda mbele man to man .....
10game win ilikuwa na influence ya bernado silva ,cancelo foden , haaland ,...... grealish na Mahrez hawakuwa kwenye form kabisa na walikuwa wanasemwa vibaya mnoo ....hii front line ya grealish -- haaland -- Mahrez imekuja baada ya kombe la dunia ,,,,baada ya foden kuumia na Bernardo silva kuwa na form mbayaMkuu,
huu uchezaji wa mahrez na grealish msimu uliopita ulikuwa tofauti?
unajua majukumu ya wings za city ni yapi?
Ok, hawako direct kama sane au sterling, je, sio haohao waliotupatia streak ya 10+ matches win?
Walker tumtumie hiki kipindi kilichobaki.Wakuu twende pole pole Kwa hii back line yetu ,huko uefa tutafika hata semi final kweli ...
Akanji -- ake-- stone ---laporte --rico --gomez--dias
Maana walker na yeye anahatihati ya kusepa , Laporte na yeye anasema hafurahishwi n pep Kwa Sasa
Pep kashasema hawezi chezesha mchezaji ambaye body language yake haioneshi hali ya kupambana ,ndio maana Rico anapewa muda mwingi ...walker kama vile na yeye hana furaha na mbinu za pep za Sasa ....so sioni kama anaweza kuwa anaanzaWalker tumtumie hiki kipindi kilichobaki.
Ake..Dias..Laporte..Walker
Tukienda na hiyo tunaweza fika semis.
Dias Kwa Sasa hayupo on fire kabisa kama zamani ,na sijui kama anafanya mazoezi kurudi kwenye hali yake ya zamani.....saizi beki wa kumuamin ni ake ,akanji na LaporteWalker tumtumie hiki kipindi kilichobaki.
Ake..Dias..Laporte..Walker
Tukienda na hiyo tunaweza fika semis.
Mahrez msimu uliopita hakuwa kwenye form?!!!10game win ilikuwa na influence ya bernado silva ,cancelo foden , haaland ,...... grealish na Mahrez hawakuwa kwenye form kabisa na walikuwa wanasemwa vibaya mnoo ....hii front line ya grealish -- haaland -- Mahrez imekuja baada ya kombe la dunia ,,,,baada ya foden kuumia na Bernardo silva kuwa na form mbaya