Dias akiwa kwenye form waga ni mwamba sana.Dias Kwa Sasa hayupo on fire kabisa kama zamani ,na sijui kama anafanya mazoezi kurudi kwenye hali yake ya zamani.....saizi beki wa kumuamin ni ake ,akanji na Laporte
Tunakomaa na FA..Kila mchezaji anaondoka Mwacity mnatoa kafara nn
Mkipata kombe hata moja msmu huu Ban la maisha linanihusu upara fc
Huyu hawezi kurudi tena hata kama bayern wasipomnunua..kama utanu vile lakin ndio hivo Tena ,...kila lakheri Joao cancelo ...
Kwa namna alivoondoka sioni kama anaweza kurudi Tena city ,[emoji1786][emoji24]View attachment 2501386
Cancelo hawezi rudii man city kama pep yupooJamani ikumbukwe kwamba Cancelo ni mchezaji wa city aliyeko bayern kwa mkopo.
Ni mkopo tu jamani.
naskia kuna buy option kwenye contract yake plus sidhan kama atarud huyuJamani ikumbukwe kwamba Cancelo ni mchezaji wa city aliyeko bayern kwa mkopo.
Ni mkopo tu jamani.
yap hawezi...hapa summer tuingie sokoni tutafute left back mwingine.naskia kuna buy option kwenye contract yake plus sidhan kama atarud huyu
Inategemea lakini..kama akizingua kule hawamnunui..unafikiri ataenda wapi sasa zaidi ya kurudi nyumbani kumenoga manake bado yuko kwenye mkataba na city.Cancelo hawezi rudii man city kama pep yupoo
Ile ni farmers league hata haina amshaamsha..Jamaa anaenda kubeba kombe kiulainiiiii
Mwaka Jana pep alimpa cancelo mkataba wa miaka 5 ,mpaka 2027 .......hajamaliza hata miaka 2 kashaondoka ..Inategemea lakini..kama akizingua kule hawamnunui..unafikiri ataenda wapi sasa zaidi ya kurudi nyumbani kumenoga manake bado yuko kwenye mkataba na city.
Game Moja ,na katoa assit ,nilikuwa naangalia Jana ....Cancelo anacheza leo
Yeah,yuko njemaGame Moja ,na katoa assit ,nilikuwa naangalia Jana ....
Bado Yuko vzuri aiseee