Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Silva amechuja sana msimu huu, ana shida gani?
Nilitegemea Bernardo atolewe mapema...alikuwa anashindwa kudetect mikimbio ya haaland .....kaja kutolewa dk 80+Pep hajifunzi tu ....
Unajua hata tukikutana na spurs uefa tunaweza tolewa mapema kabisa [emoji3]...
Yaani mim sijawahi mwelewa pep kila akienda uwanja mpya wa spurs ....cheki kama line up ya Leo ....
Lewis & walker combination ya hovyo ...
Alvarez & haaland then hauna creative midifilder kama gundo na kdb ni ujinga mtupu ....
Sasa alitegemea haaland na Alvarez kina grealish na Mahrez ndio wampe mpira ? ...
Bernado silva hawez kabisa kipiga hata long ball ....
Silva wa misimu miwili mitatu nyuma alikua anafosi hadi kinaeleweka uyu wa sasahivi ni bora liende tuHajachuja wameshajua jinsi ya kucheza nae
Silva hana Yale makeke yake tena.Hajachuja wameshajua jinsi ya kucheza nae
Bernardo kaniangusha sana dah....Tumecheza game dakika 80 bila midifilder...WTF
Ukiangalia wachezaji wetu psychologically hawako sawa ....Yaani inasikitisha sana hata maneno yanakosa kabisa
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Rodri katuzamishaYaani inasikitisha sana hata maneno yanakosa kabisa
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Bernado ni mzuri akiwa anatoka pembeni ,majukumu waliyompa yalikuwa magumu sanaa .....Bernardo kaniangusha sana dah....
End of an era labda.Dunia inaenda kasi sana, city saivi hata kushinda mechi 3 mfululizo ni mgogoro.
Mihimili yetu kwenye mid field imeanza kuyumba.End of an era labda.
Silva hana Yale makeke yake tena.