Mashabiki wa city bana mnafurahisha sana, yani sehemu ambayo mna misimu karibia minne hampati matokeo pamoja na ubora wenu wote wa seasons za nyuma ila jana kufungwa mnaongea maneno kibao
Ata kama Rodri asingefanya lile kosa la kupiga pass mbaya kwa upande wangu me naamini mngepigwa tu kivingine, Totenham wamepoteza chance kibao, wangeweza kushinda ata 3
Haya tuseme jana mnalalamika sijui Silva kacheza Chini ya kiwango mara Rodri amefanya vile, vipi msimu wa 2021/2022 nani aliharibu mkafa? Vipi msimu wa 2020/2021 je msimu wa 2019/2020 nani alizingua?
Ni kama vile tu Arteta alivowashindwa Everton wakiwa kwao tangu amekuja Arsenal ndio ilivo kwa pep na Totenham wakiwa kwao unakuwa ni mfupa mgumu, ila mbio za ubingwa hadi sasa bado mbichi sana wakuu