The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep hajifunzi tu ....

Unajua hata tukikutana na spurs uefa tunaweza tolewa mapema kabisa [emoji3]...

Yaani mim sijawahi mwelewa pep kila akienda uwanja mpya wa spurs ....cheki kama line up ya Leo ....

Lewis & walker combination ya hovyo ...

Alvarez & haaland then hauna creative midifilder kama gundo na kdb ni ujinga mtupu ....

Sasa alitegemea haaland na Alvarez kina grealish na Mahrez ndio wampe mpira ? ...

Bernado silva hawez kabisa kipiga hata long ball ....
Nilitegemea Bernardo atolewe mapema...alikuwa anashindwa kudetect mikimbio ya haaland .....kaja kutolewa dk 80+
 
Hapa tuanze kujipanga na msimu ujao ,tutafute damu mpya kwenye kiungo. Zama za kina Bernardo, gundo, kdb zimeanza kuisha pale city.
 
Yaani inasikitisha sana hata maneno yanakosa kabisa

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Ukiangalia wachezaji wetu psychologically hawako sawa ....

Nahisi pep hana mahusiano mazuri huko dressing room ,.....

Sababu ya gundo & kdb kuanza bench Kwa game mhimu kama ya Leo ni fucking experiment...

Mid kalii siku zote ni gundo -- rodri -- kdb .

Sasa tunacheza dakika zaidi ya 60 bila midifilder.,,,, Alvarez anacheza kama CAM [emoji3][emoji3][emoji3]kituko cha mwaka ....

Pep kachanganyikiwa sio Bure mazee...
 
0 shot on target Vs Spursy
20230206_075353.jpg
 
Mashabiki wa city bana mnafurahisha sana, yani sehemu ambayo mna misimu karibia minne hampati matokeo pamoja na ubora wenu wote wa seasons za nyuma ila jana kufungwa mnaongea maneno kibao

Ata kama Rodri asingefanya lile kosa la kupiga pass mbaya kwa upande wangu me naamini mngepigwa tu kivingine, Totenham wamepoteza chance kibao, wangeweza kushinda ata 3

Haya tuseme jana mnalalamika sijui Silva kacheza Chini ya kiwango mara Rodri amefanya vile, vipi msimu wa 2021/2022 nani aliharibu mkafa? Vipi msimu wa 2020/2021 je msimu wa 2019/2020 nani alizingua?

Ni kama vile tu Arteta alivowashindwa Everton wakiwa kwao tangu amekuja Arsenal ndio ilivo kwa pep na Totenham wakiwa kwao unakuwa ni mfupa mgumu, ila mbio za ubingwa hadi sasa bado mbichi sana wakuu
 
Back
Top Bottom