Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Sio rahisi hivo mzee ,man city sio team ndogo kama unavoifikilia ......nothing will happen believe me ....Right now we are heading from HERO to ZERO.
Hii inshu hata hivyo wanasema itachukua miaka kufikia hitimisho.Sio rahisi hivo mzee ,man city sio team ndogo kama unavoifikilia ......nothing will happen believe me ....
More than 23 lawyer are ready to defend ...
Hakuna mtu wa kuishusha city daraja mzee ,madai yao yote hayana evidence .....Huku ni kujipa matumaini tu.
Hao vibwengo wanatushusha kule matopeni wakipata ushahidi wa madai yao.
Mtuombee tuchomoke maana ligi bila uwepo wa city haina mvuto, haitakuwa tofauti na ndondo cup sawa?Na bado [emoji23]
Let's hope for the best but expecting the worse.Huku ni kujipa matumaini tu.
Hao vibwengo wanatushusha kule matopeni wakipata ushahidi wa madai yao.
It's difficult but possible..Sio rahisi hivo mzee ,man city sio team ndogo kama unavoifikilia ......nothing will happen believe me ....
More than 23 lawyer are ready to defend ...
Mkuu unataka kusema Juventus ama Marseille hawakuona hizo loopholes?Hakuna mtu wa kuishusha city daraja mzee ,madai yao yote hayana evidence .....
Yule jamaa alidokoa email na kupeleka uefa kutaka city tupigwe ban ,na uefa wakatoka official statement tumepigwa ban ila tulijutetea,unajua kwanin tulishinda au unafikili ilikuwa bahati mbaya ,sembuse PL .....
Unaweza kusema tulifanya appeal yes ,na PL hakuna nafasi ya kufanya appeal but kaa ulijua kila sherda Ina loophole za kuovercome the situation ni swala la kutulia tu na kutafuta professional lawyer &board nzima kudefend ...
Nilivyoona hakuna ku appeal nikaishiwa na nguvu mamaee.Sheria za PL zinasema wakishaprove na kutoa maamuzi hauruhusiwi kwenda kukata rufaa ....
Sasa wapo kwenye namna ya kuprove hayoo madai ...
Za ndani wanasema Kuna staff mmoja ndio kavujisha hizo taarifa nyeti na kuzipeleka PL,kwamba wazamin wengi wa city ni makampuni ya shekhe monsur,yapo katika mjina mengine ....
Mambo ni mengi wacha tuone mwisho wakee ....
Bora makombe watuachie hata tukishuka fresh tu tunashuka na makombe yetu.It's difficult but possible..
We have to consider every possible outcome rather than ignoring some.
Lolote linawezekana, kushinda ama kushindwa na kwenye kushindwa lolote linawezekana, kunyang'anywa mataji na points ama kufurushwa kwenye EPL and the whole of EFL.
Hehehe mshaanza kutu count out wakati hata hukumu bado!!!Championship wamesema city hatapata nafasi kule. Itabidi mkaombe kushiriki League one
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mambo mengine hayawezekan hata ndotoni hasa hili la kuchukua et makombe ....Bora makombe watuachie hata tukishuka fresh tu tunashuka na makombe yetu.
Sababu kubwa ya Juventus kushishwa daraja ni kosa la kupanga matokeo na ushahidi ulikuwa wazi ....Mkuu unataka kusema Juventus ama Marseille hawakuona hizo loopholes?
I'm too optimistic about this lakini ni vyema tujiandae kisaikolojia kwa lolote litakalotutokea kuliko kujihakikishia kana kwamba we are untouchable.
Mna hali ngumu, ombeni Mungu sanaHehehe mshaanza kutu count out wakati hata hukumu bado!!!
EFL nzima (championship, league 1&2) nafasi hakuna.
Hiyo maana yake tukiwa expelled tunatoka kwenye english football league yote tunaenda kuanza upya kwenye national league.
Enzo ametembea na upepo wa kombe la dunia mkaingia chaka ...mmepigwaa hapoDanny Murphy mpuuzi yule eti kadai hakuna mchezaji wa chelsea kati ya hao wapya watakaoanza kwenye line up ya city, na kwamba Enzo hawezi kuwafikia Rodri na Casemiro
Gary Neville na Dan Murphy wakifunguaga hayo mabakuli yao lazima watapike udongo.
Useless kabisa hawa wazee wa Liverpool na Manure
View attachment 2509987
View attachment 2509984