The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sio rahisi hivo mzee ,man city sio team ndogo kama unavoifikilia ......nothing will happen believe me ....

More than 23 lawyer are ready to defend ...
Hii inshu hata hivyo wanasema itachukua miaka kufikia hitimisho.
 
Huku ni kujipa matumaini tu.

Hao vibwengo wanatushusha kule matopeni wakipata ushahidi wa madai yao.
Hakuna mtu wa kuishusha city daraja mzee ,madai yao yote hayana evidence .....

Yule jamaa alidokoa email na kupeleka uefa kutaka city tupigwe ban ,na uefa wakatoka official statement tumepigwa ban ila tulijutetea,unajua kwanin tulishinda au unafikili ilikuwa bahati mbaya ,sembuse PL .....

Unaweza kusema tulifanya appeal yes ,na PL hakuna nafasi ya kufanya appeal but kaa ulijua kila sherda Ina loophole za kuovercome the situation ni swala la kutulia tu na kutafuta professional lawyer &board nzima kudefend ...
 
Patamu hapa, Ngoja tusikilizie mchezo unaendaje.

Kaveh Solhekol expain that Manchester City have reportedly asked Lord Pannick KC to defend them after allegations of financial breaches.
 
Wakitutoa epl ,siwezi poteza muda kuangalia utopolo wa sijui arsenal ,man UTD ,Chelsea nashuka nayoo huko hukoo [emoji3][emoji3]...

PL wenyewe watakuwa wamepoteza fan base itakuwa sawa na Seria a...
 
BREAKING [[emoji599][emoji954]]: Blackstone Chambers’ Lord Pannick KC is set to defend Man City again against the Premier League. Monckton Chambers’ Paul Harris KC will join Pannick on Manchester City's team.

[emoji102] Lord Pannick KC - Previous Cases;

[emoji736] Beat Government over Brexit (x2)
[emoji736] Successfully appealed against UEFA’s Man City ban at CAS
[emoji736] Helped fend off a lawsuit from Joe Royle following his Man City sacking

[via The Lawyer News]
FB_IMG_16757986190257172.jpg
 
Sio rahisi hivo mzee ,man city sio team ndogo kama unavoifikilia ......nothing will happen believe me ....

More than 23 lawyer are ready to defend ...
It's difficult but possible..

We have to consider every possible outcome rather than ignoring some.

Lolote linawezekana, kushinda ama kushindwa na kwenye kushindwa lolote linawezekana, kunyang'anywa mataji na points ama kufurushwa kwenye EPL and the whole of EFL.
 
Hakuna mtu wa kuishusha city daraja mzee ,madai yao yote hayana evidence .....

Yule jamaa alidokoa email na kupeleka uefa kutaka city tupigwe ban ,na uefa wakatoka official statement tumepigwa ban ila tulijutetea,unajua kwanin tulishinda au unafikili ilikuwa bahati mbaya ,sembuse PL .....

Unaweza kusema tulifanya appeal yes ,na PL hakuna nafasi ya kufanya appeal but kaa ulijua kila sherda Ina loophole za kuovercome the situation ni swala la kutulia tu na kutafuta professional lawyer &board nzima kudefend ...
Mkuu unataka kusema Juventus ama Marseille hawakuona hizo loopholes?

I'm too optimistic about this lakini ni vyema tujiandae kisaikolojia kwa lolote litakalotutokea kuliko kujihakikishia kana kwamba we are untouchable.
 
Championship wamesema city hatapata nafasi kule. Itabidi mkaombe kushiriki League one
 
Sheria za PL zinasema wakishaprove na kutoa maamuzi hauruhusiwi kwenda kukata rufaa ....

Sasa wapo kwenye namna ya kuprove hayoo madai ...

Za ndani wanasema Kuna staff mmoja ndio kavujisha hizo taarifa nyeti na kuzipeleka PL,kwamba wazamin wengi wa city ni makampuni ya shekhe monsur,yapo katika mjina mengine ....

Mambo ni mengi wacha tuone mwisho wakee ....
Nilivyoona hakuna ku appeal nikaishiwa na nguvu mamaee.
 
It's difficult but possible..

We have to consider every possible outcome rather than ignoring some.

Lolote linawezekana, kushinda ama kushindwa na kwenye kushindwa lolote linawezekana, kunyang'anywa mataji na points ama kufurushwa kwenye EPL and the whole of EFL.
Bora makombe watuachie hata tukishuka fresh tu tunashuka na makombe yetu.
 
Championship wamesema city hatapata nafasi kule. Itabidi mkaombe kushiriki League one
Hehehe mshaanza kutu count out wakati hata hukumu bado!!!

EFL nzima (championship, league 1&2) nafasi hakuna.

Hiyo maana yake tukiwa expelled tunatoka kwenye english football league yote tunaenda kuanza upya kwenye national league.
 
Bora makombe watuachie hata tukishuka fresh tu tunashuka na makombe yetu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mambo mengine hayawezekan hata ndotoni hasa hili la kuchukua et makombe ....

Watu tulishakata keki muda Sana ,tukasherekea kula bia Sana ,pesa tushakula za ubingwa ....Leo eti zirudi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu unataka kusema Juventus ama Marseille hawakuona hizo loopholes?

I'm too optimistic about this lakini ni vyema tujiandae kisaikolojia kwa lolote litakalotutokea kuliko kujihakikishia kana kwamba we are untouchable.
Sababu kubwa ya Juventus kushishwa daraja ni kosa la kupanga matokeo na ushahidi ulikuwa wazi ....

Sasa hizi za city ni romours ....

Wanasema man city ilikuwa na sponsor fake ...

Wanasema Kuna pesa walikuwa wanapewa wachezaji nje ya mkataba,kuilipa marefaree na mengine kupitia malipo ambayo sio rasimi ...

Wanasema sponsor wa city ni makampuni ambayo sio rasimi....

Wanasema Kuna sponsor wa city ambao ni makampuni ya monsur,hivyo basi tajiri anatumia mbinu mbali mbali kuingizi pesa kwenye clubs tofauti na utaratibu ,akidai kuwa n sponsores wa club kumbe ni yeye mwenyewe Kwa majina tofauti [emoji3][emoji3][emoji3]...
......

Ambapo sheria za mpira ffs zinasema mmiriki hatakiwi kuingizi pesa kutoka nje na kuziweka kwenye clubs ,club inatakiwa kujiendesha yenyewe Kwa mafanikio yake ....

Hizo zote ni hoja dhaifu ambazo hata wanasheria wa bongo wanapindua meza, board nzima ya city na lawyer wanaweza tolea maelezo yaliyonyooka Kwa evidence kama tulivofanya UEFA simple kabisa ....
 
Hehehe mshaanza kutu count out wakati hata hukumu bado!!!

EFL nzima (championship, league 1&2) nafasi hakuna.

Hiyo maana yake tukiwa expelled tunatoka kwenye english football league yote tunaenda kuanza upya kwenye national league.
Mna hali ngumu, ombeni Mungu sana
 
Mansour kachukua man city 2008...

FFP imeanzishwa mwaka 2011 ...

Sheria zimezotungwa mwaka 2011 zinatumika kuhukumu matumizi ya timu ya mwaka 2009 [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sorry hii post ilitarajiwa kuwekwa kwenye uzi wa Chelsea sio hapa, nyie endeleeni kupambania hali yenu

Danny Murphy mpuuzi yule eti kadai hakuna mchezaji wa chelsea kati ya hao wapya watakaoanza kwenye line up ya city, na kwamba Enzo hawezi kuwafikia Rodri na Casemiro

Gary Neville na Dan Murphy wakifunguaga hayo mabakuli yao lazima watapike udongo.

Useless kabisa hawa wazee wa Liverpool na Manure

1675830284051.png

1675829805705.png

Fn6u9UOXkAIWif-
 
Danny Murphy mpuuzi yule eti kadai hakuna mchezaji wa chelsea kati ya hao wapya watakaoanza kwenye line up ya city, na kwamba Enzo hawezi kuwafikia Rodri na Casemiro

Gary Neville na Dan Murphy wakifunguaga hayo mabakuli yao lazima watapike udongo.

Useless kabisa hawa wazee wa Liverpool na Manure

View attachment 2509987
View attachment 2509984
Fn6u9UOXkAIWif-
Enzo ametembea na upepo wa kombe la dunia mkaingia chaka ...mmepigwaa hapo
 
Back
Top Bottom