Hakuna mtu wa kuishusha city daraja mzee ,madai yao yote hayana evidence .....
Yule jamaa alidokoa email na kupeleka uefa kutaka city tupigwe ban ,na uefa wakatoka official statement tumepigwa ban ila tulijutetea,unajua kwanin tulishinda au unafikili ilikuwa bahati mbaya ,sembuse PL .....
Unaweza kusema tulifanya appeal yes ,na PL hakuna nafasi ya kufanya appeal but kaa ulijua kila sherda Ina loophole za kuovercome the situation ni swala la kutulia tu na kutafuta professional lawyer &board nzima kudefend ...