Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Sasa Hao PL ni nan mpaka tusichomoe ....Mnachotakiwa ni kukata rufaa tu. Huyo private consultan atakachofanya ni kupendekeza adhabu sio evidence. Wai wameshasema kutoa evidence inabaki kwenu. Mkichomoa safari hii ninyi ni wanaume
Ohooo kumbe unakuja na makalio yako kusherekea man city kuanguka ,hashuki mtu daraja na Bado tupo Sana PL [emoji3]....Alishushwa Juventus kule Italy, na ligi iliendelea kunoga kama pilau, sembuse nyinyi vibwengo, ambao hata UCL hamjawahi nyakua.
Inatakiwa mushushwe kabisa ili nyinyi mashabiki uchwara murudi kwenye vilab vyenu vya awali.
Juventus alishushwa Kwa sababu ya kupanga matokeo sio sababu kama zetu hazina mashiko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Alishushwa Juventus kule Italy, na ligi iliendelea kunoga kama pilau, sembuse nyinyi vibwengo, ambao hata UCL hamjawahi nyakua.
Inatakiwa mushushwe kabisa ili nyinyi mashabiki uchwara murudi kwenye vilab vyenu vya awali.
Wew itoe man u kwenye ujinga wenu hii kumbuka Ni timu kubwa kuliko hiyo city nakama ulikua hujui ndio timu kipenzi ya marehemu malikia Elizabeth wa pili.Wakitutoa epl ,siwezi poteza muda kuangalia utopolo wa sijui arsenal ,man UTD ,Chelsea nashuka nayoo huko hukoo [emoji3][emoji3]...
PL wenyewe watakuwa wamepoteza fan base itakuwa sawa na Seria a...
Kama nyie ni timu kubwa ,Kuna mtu amekuja kuomba ukubwa wenu ....man UTD ni bankrupt team living in history kutwaa kujiita team kubwa wakati uwanja tu wa OT unavuja ....Wew itoe man u kwenye ujinga wenu hii kumbuka Ni timu kubwa kuliko hiyo city nakama ulikua hujui ndio timu kipenzi ya marehemu malikia Elizabeth wa pili.
Huyo Enzo kashaonesha kitu gani PL [emoji3],hana statistics zozote ,mnaishu nae Kwa takwimu za world cup ...Mkuu huyo Rodri ana kitu gani special kumzidi Enzo?
Indeed 👍Acha kujidanganya, Man city sio timu kubwa yenye fanbase kubwa kama unavyojidanganya.
Ni club ndogo kama Everton tu, hamna impact yeyote kama ingekuwa Man united, Liverpool or Arsenal.
Man city is nothing but a mediocre club
Usitafute kichaka cha kujifichia,mie siungi mkono kunyang'anywa vikombe au kufurahia nyie kushuka daraja sababu man united Ni kubwa kuliko hiyo man city pia mnazidiwa kila kitu.Kama nyie ni timu kubwa ,Kuna mtu amekuja kuomba ukubwa wenu ....man UTD ni bankrupt team living in history kutwaa kujiita team kubwa wakati uwanja tu wa OT unavuja ....
Huyo kipala pep guardiola mwenye bichwa lake Kama fuvu la dagaa mwambie akae kwa makini na atulie nasio kumbwata mbwata.Unashangaa nzi nyingi za Liverpool,man UTD kufurahi anguko man city humu Hadi pep kashajua ....
[emoji3447] Pep 3 days ago: "I'll never forget that eight or nine teams in the PL sent a letter to get us banned..."
[emoji732] Today: The clubs who had been pressing hardest for action on Man City until Monday were some other members of the so-called 'big six' - which includes Manchester United, Liverpool, Arsenal, Chelsea and Tottenham.
[emoji471] We won 4 PL titles in 5 years! They can't defeat us on pitch, that's why chose this way [emoji38]
Mechi yake tu ya kwanza dhidi ya fulham ndio alikuwa mchezaji Bora wa chelsea ndio mchezaji aliyefanya interceptions nyingi, recovery nyingi na akapiga key pass 2 na amecreate nafasi Moja ya wazi kumbuka huyo ni kiungo mkabaji utasemaje ni wa kawaida ebu jaribu kucheki game zetu uone ubora wa huyu jamaaHuyo Enzo kashaonesha kitu gani PL [emoji3],hana statistics zozote ,mnaishu nae Kwa takwimu za world cup ...
Kunyang'anywa sawa lakini kuwapa wengine makombe ni procedure ndefu sana, itahusisha kufanya mabadiliko mengi hadi itadisturb EPL table za miaka husika na quosequences nyingi juu na chini ahkuna mtu atakayeruhu hicho kitu kutokeaNimesoma give me sports na the telegraph wameandika hicho kitu kama moja ya adhabu zinazoweza kutolewa kama tukikutwa na hatia.
Ngoja tuone hio commission itaamua vipi wakishajiridhisha.
Mtu pekee akiondoka city ,timu itayumba na kujitafutia upya ni pep ...Kwa hali inavyoendelea inaonekana city tutabaki na kina maximo perrone, scott carson,tommy, doyle, james McAtee, rico lewis,sergio gomez,josh esbrand etc..
Kama kesi isipomalizika mapema wachezaji wengi wataanza kutafuta pa kutokea maana future ya timu inakuwa haieleweki.
Haaland nae kawaomba wanasheria wake waangalie uwezekano wa kurudisha muda wa release clause yake kutoka 2024 hadi 2023 ili kutoa nafasi ya real madrid kumnunua dirisha linalokuja.
Haya njoo sasa kwenye uzi wa vidume Chelsea uzurure tena na kanga yako 1 kujifanya Mwa-City mnacheza mpira wa sayari ya Mars [emoji3]Mtu pekee akiondoka city ,timu itayumba na kujitafutia upya ni pep ...
Haaland hata akiondoka Kuna wachezaji kibao mzee ,hatuna utamaduni wa kuabudu mchezaji ...
Maneno ya mfa maji A.K.A Mtu haini [emoji38]Unashangaa nzi nyingi za Liverpool,man UTD kufurahi anguko man city humu Hadi pep kashajua ....
[emoji3447] Pep 3 days ago: "I'll never forget that eight or nine teams in the PL sent a letter to get us banned..."
[emoji732] Today: The clubs who had been pressing hardest for action on Man City until Monday were some other members of the so-called 'big six' - which includes Manchester United, Liverpool, Arsenal, Chelsea and Tottenham.
[emoji471] We won 4 PL titles in 5 years! They can't defeat us on pitch, that's why chose this way [emoji38]
Sembuse ninyi vibwengo [emoji847]Alishushwa Juventus kule Italy, na ligi iliendelea kunoga kama pilau, sembuse nyinyi vibwengo, ambao hata UCL hamjawahi nyakua.
Inatakiwa mushushwe kabisa ili nyinyi mashabiki uchwara murudi kwenye vilab vyenu vya awali.