The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mnachotakiwa ni kukata rufaa tu. Huyo private consultan atakachofanya ni kupendekeza adhabu sio evidence. Wai wameshasema kutoa evidence inabaki kwenu. Mkichomoa safari hii ninyi ni wanaume
Sasa Hao PL ni nan mpaka tusichomoe ....

Sheria zimezoanzishwa mwaka 2011 ,zinatumika kuhukumu mambo ya 2009 watu sio wajinga bana ...

Wanatuharibu psychologically tu kumpa nafasi man UTD na arsenal kuwin PL [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Alishushwa Juventus kule Italy, na ligi iliendelea kunoga kama pilau, sembuse nyinyi vibwengo, ambao hata UCL hamjawahi nyakua.
Inatakiwa mushushwe kabisa ili nyinyi mashabiki uchwara murudi kwenye vilab vyenu vya awali.
Ohooo kumbe unakuja na makalio yako kusherekea man city kuanguka ,hashuki mtu daraja na Bado tupo Sana PL [emoji3]....
 
Hiki tulichowafanya Liverpool lazima washerekee city kushishwa daraja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
IMG-20230208-WA0064.jpg
 
Alishushwa Juventus kule Italy, na ligi iliendelea kunoga kama pilau, sembuse nyinyi vibwengo, ambao hata UCL hamjawahi nyakua.
Inatakiwa mushushwe kabisa ili nyinyi mashabiki uchwara murudi kwenye vilab vyenu vya awali.
Juventus alishushwa Kwa sababu ya kupanga matokeo sio sababu kama zetu hazina mashiko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mara city wanatoa taarifa za tickets fake ,mara tunalipa extra money nje ya mkataba ,mara sponsor fake .....ujinga mtupu ....Hao PL sijui wamekosa pesa wanatafuta hela Kwa mansour Kwa nguvu sanaa.......
 
Wakitutoa epl ,siwezi poteza muda kuangalia utopolo wa sijui arsenal ,man UTD ,Chelsea nashuka nayoo huko hukoo [emoji3][emoji3]...

PL wenyewe watakuwa wamepoteza fan base itakuwa sawa na Seria a...
Wew itoe man u kwenye ujinga wenu hii kumbuka Ni timu kubwa kuliko hiyo city nakama ulikua hujui ndio timu kipenzi ya marehemu malikia Elizabeth wa pili.
 
Kama nyie ni timu kubwa ,Kuna mtu amekuja kuomba ukubwa wenu ....man UTD ni bankrupt team living in history kutwaa kujiita team kubwa wakati uwanja tu wa OT unavuja ....
 
Unashangaa nzi nyingi za Liverpool,man UTD kufurahi anguko man city humu Hadi pep kashajua ....

[emoji3447] Pep 3 days ago: "I'll never forget that eight or nine teams in the PL sent a letter to get us banned..."

[emoji732] Today: The clubs who had been pressing hardest for action on Man City until Monday were some other members of the so-called 'big six' - which includes Manchester United, Liverpool, Arsenal, Chelsea and Tottenham.

[emoji471] We won 4 PL titles in 5 years! They can't defeat us on pitch, that's why chose this way [emoji38]
 
Muray Rosen CK who is a passionate Arsenal fan, is a chairman of the independent commission for investigating city finances.
 
Acha kujidanganya, Man city sio timu kubwa yenye fanbase kubwa kama unavyojidanganya.

Ni club ndogo kama Everton tu, hamna impact yeyote kama ingekuwa Man united, Liverpool or Arsenal.

Man city is nothing but a mediocre club
Indeed 👍
 
Kama nyie ni timu kubwa ,Kuna mtu amekuja kuomba ukubwa wenu ....man UTD ni bankrupt team living in history kutwaa kujiita team kubwa wakati uwanja tu wa OT unavuja ....
Usitafute kichaka cha kujifichia,mie siungi mkono kunyang'anywa vikombe au kufurahia nyie kushuka daraja sababu man united Ni kubwa kuliko hiyo man city pia mnazidiwa kila kitu.

Lakini Kama mna hatia acha mpewe haki yenu mnayostahili.
 
Unashangaa nzi nyingi za Liverpool,man UTD kufurahi anguko man city humu Hadi pep kashajua ....

[emoji3447] Pep 3 days ago: "I'll never forget that eight or nine teams in the PL sent a letter to get us banned..."

[emoji732] Today: The clubs who had been pressing hardest for action on Man City until Monday were some other members of the so-called 'big six' - which includes Manchester United, Liverpool, Arsenal, Chelsea and Tottenham.

[emoji471] We won 4 PL titles in 5 years! They can't defeat us on pitch, that's why chose this way [emoji38]
Huyo kipala pep guardiola mwenye bichwa lake Kama fuvu la dagaa mwambie akae kwa makini na atulie nasio kumbwata mbwata.
 
Huyo Enzo kashaonesha kitu gani PL [emoji3],hana statistics zozote ,mnaishu nae Kwa takwimu za world cup ...
Mechi yake tu ya kwanza dhidi ya fulham ndio alikuwa mchezaji Bora wa chelsea ndio mchezaji aliyefanya interceptions nyingi, recovery nyingi na akapiga key pass 2 na amecreate nafasi Moja ya wazi kumbuka huyo ni kiungo mkabaji utasemaje ni wa kawaida ebu jaribu kucheki game zetu uone ubora wa huyu jamaa
 
Kwa hali inavyoendelea inaonekana city tutabaki na kina maximo perrone, scott carson,tommy, doyle, james McAtee, rico lewis,sergio gomez,josh esbrand etc..

Kama kesi isipomalizika mapema wachezaji wengi wataanza kutafuta pa kutokea maana future ya timu inakuwa haieleweki.

Haaland nae kawaomba wanasheria wake waangalie uwezekano wa kurudisha muda wa release clause yake kutoka 2024 hadi 2023 ili kutoa nafasi ya real madrid kumnunua dirisha linalokuja.
 
Kitu ninacho kijua ni kwamba City hatakiwi kubeba EPL mara tatu mfululizo
Hata kipindi kile baada ya kubeba EPL mara mbili mfululizo , msimu uliofuatia zilikuja figisu za VAR na mambo mengine mwisho wa siku Liver akabeba
Msimu huu nao ndo hivyo hivyo hatuwezi kubeba

Mwisho wafanye yote ila makombe yetu watuachie , kazi tuliyo ifanya huko nyuma sio kitu kidogo!!!
 
Nimesoma give me sports na the telegraph wameandika hicho kitu kama moja ya adhabu zinazoweza kutolewa kama tukikutwa na hatia.

Ngoja tuone hio commission itaamua vipi wakishajiridhisha.
Kunyang'anywa sawa lakini kuwapa wengine makombe ni procedure ndefu sana, itahusisha kufanya mabadiliko mengi hadi itadisturb EPL table za miaka husika na quosequences nyingi juu na chini ahkuna mtu atakayeruhu hicho kitu kutokea
 
Kwa hali inavyoendelea inaonekana city tutabaki na kina maximo perrone, scott carson,tommy, doyle, james McAtee, rico lewis,sergio gomez,josh esbrand etc..

Kama kesi isipomalizika mapema wachezaji wengi wataanza kutafuta pa kutokea maana future ya timu inakuwa haieleweki.

Haaland nae kawaomba wanasheria wake waangalie uwezekano wa kurudisha muda wa release clause yake kutoka 2024 hadi 2023 ili kutoa nafasi ya real madrid kumnunua dirisha linalokuja.
Mtu pekee akiondoka city ,timu itayumba na kujitafutia upya ni pep ...

Haaland hata akiondoka Kuna wachezaji kibao mzee ,hatuna utamaduni wa kuabudu mchezaji ...
 
Haya njoo sasa kwenye uzi wa vidume Chelsea uzurure tena na kanga yako 1 kujifanya Mwa-City mnacheza mpira wa sayari ya Mars [emoji3]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Unashangaa nzi nyingi za Liverpool,man UTD kufurahi anguko man city humu Hadi pep kashajua ....

[emoji3447] Pep 3 days ago: "I'll never forget that eight or nine teams in the PL sent a letter to get us banned..."

[emoji732] Today: The clubs who had been pressing hardest for action on Man City until Monday were some other members of the so-called 'big six' - which includes Manchester United, Liverpool, Arsenal, Chelsea and Tottenham.

[emoji471] We won 4 PL titles in 5 years! They can't defeat us on pitch, that's why chose this way [emoji38]
Maneno ya mfa maji A.K.A Mtu haini [emoji38]

Back
Top Bottom