Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
Hongera yake naona alikuwa anatafuta record hiyo ya kufungwa gori 7:0 awe team pekee.Man u kapigwa goli 7 kama kasimama kudadekii [emoji23][emoji23]
Tuna wiki nzima ya kupumzika hope atakuwa fresh.Foden kasema ameumiza tena mguu wake.
Huyo cancelo huko bayern nako anasugua bench sku iz, arudi nyumban tu.Man city potential exits.
Ilkay Gundogan
Aymeric Laporte
Bernado Silva
Joao Cancelo
Potential replacements
Adrien Rabiot (short-term)
Josko Gvardiol
Jude Bellingham
Ben Chilwell
Jamaa ana struggle sana.Huyo cancelo huko bayern nako anasugua bench sku iz, arudi nyumban tu.
The guy is so immature.Walker kashayakoroga huko, anachunguzwa na polisi baada ya video kusambaa mitandaoni inayomuonesha akivua nguo mbele ya wanawake bar.
Jamaa kazingua kinoma.The guy is so immature.
Hata mazungumzo ya kuongeza mkataba wake yaliyotakiwa kufanyika wiki hii yameshasitishwa, anajichafulia carreer yake, poor him.
Jana katoa assist bana ,na kaingia dakika ya 80 ..According to Calciomercato, Bayern Munchen have decided not to sign cancelo on permanent basis when his loan deal expire this summer.
That means ....!!