Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
Of course it is.This is Etihad mofos.
Liverpool ajipange ,kuchukua point kwetu itamgharimu ,Tena labda afie uwanjani kabisa ...Mimi ni arsenal nitafurahi sana the citizen wakibeba uefa maana ilo ndio kombe mlilobakiza.
Yote kwa yote next nitafurahi mkifungwa na Liverpool EPL
Hatimaye mmevunja rekodi yetu
[emoji23]Hii mechi itabidi niirudie tena kuiangalia kana kwamba sijui chochote kilichotokea.
TutawashangazaLiverpool ajipange ,kuchukua point kwetu itamgharimu ,Tena labda afie uwanjani kabisa ...
Kuna point 3 utamuachia Liverpool pale Anfield, Kuna 3 utaacha Etihad, liva akija etihad napiga.Mimi ni arsenal nitafurahi sana the citizen wakibeba uefa maana ilo ndio kombe mlilobakiza.
Yote kwa yote next nitafurahi mkifungwa na Liverpool EPL
Umshangaze nani wewe tunapiga goli 3.Tutawashangaza
Tukupige ban?Man City tupeni kombe letu mapema tu hii UEFA ya kwetu
THE CITIZEN π€π€π€π€π€π€
Mkinipiga Ban hamchukui Uefa Mwacity upara fcTukupige ban?
[emoji23][emoji23][emoji23]Man City tupeni kombe letu mapema tu hii UEFA ya kwetu
THE CITIZEN π€π€π€π€π€π€
[emoji1787][emoji1787]Mkinipiga Ban hamchukui Uefa Mwacity upara fc