Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Mbona una wasi wasi mkuuKesho tutachomoka kweli mazee ,maana Liverpool hata awe mbovu vip akikutana na sis huwa ni level nyingine....
Game zote za Liverpool huwa ni pressure tupu...
Mim kila nikikutana Liverpool hata tuwe na form ipi sijawahi kuingia na confidence,hata fans uwanjan linapokuja swala la Liverpool kawaulize wanajua ....Mbona una wasi wasi mkuu
Mpira dakika tisini matokeo ni dalili za maamzi ya kocha na wachezaji
Hivyo waamini wachezaji wa city watatupa matokeo sahihi
Kesho uhakika matokeo tunayo mazuriMim kila nikikutana Liverpool hata tuwe na form ipi sijawahi kuingia na confidence,hata fans uwanjan linapokuja swala la Liverpool kawaulize wanajua ....
Sijawahi ona game ambayo pep anashinda comfortable against Liverpool ukiachana na ile ya 5-0 mwaka 2017 ...
2021 Tuliwapiga 4-1 pale anfield, foden akapiga bonge la bao.Mim kila nikikutana Liverpool hata tuwe na form ipi sijawahi kuingia na confidence,hata fans uwanjan linapokuja swala la Liverpool kawaulize wanajua ....
Sijawahi ona game ambayo pep anashinda comfortable against Liverpool ukiachana na ile ya 5-0 mwaka 2017 ...
Hata kwenye kupanga line up sometime huwa anayumba.Kesho uhakika matokeo tunayo mazuri
Changamoto ya pep ni sub zinaweza kutuharibia
Kuwepo tu. Iyo haibadilishi kichapo tutakachotoa.leo nipo kwa liverpool
Match ya Liverpool vs Man city mostly huwa inamalizwa kwenye midfield.Kesho tutachomoka kweli mazee ,maana Liverpool hata awe mbovu vip akikutana na sis huwa ni level nyingine....
Game zote za Liverpool huwa ni pressure tupu...
In Alvarez I believe.Kesho namuona Alvarez akituwakilisha...
Ukiona hivyo ujue pep anataka game control, Stones anakua anaenda kuadd numbers kwenye kiungo sababu ana utulivu, ni mpiga pasi mzuri na ana jiamini akiwa na mpira.Hata kwenye kupanga line up sometime huwa anayumba.
Leo mimi naomba aanze na walker kwenye right back maana pep huwa ana overthink anaanza na Stones.
Kama ni kumuanzisha stones basi aanze kama CB, kum expose kwa nunez ni kutafuta matatizo tu.Ukiona hivyo ujue pep anataka game control, Stones anakua anaenda kuadd numbers kwenye kiungo sababu ana utulivu, ni mpiga pasi mzuri na ana jiamini akiwa na mpira.
Risk ni wakati wa counter attacks, stones hawezi kupambana na Nunez linapokuja suala la speed.
Sidhani kama pep atakubali kujiweka kwenye risk ya namna hiyo.
Tingisha trako kwanzaNyie kina Mwasiti tunawaomba leo msituangushe, msikubali Liverpuuhhh kuligeuza hili jiji letu tukufu kua shamba la bibi.
Sisi kama Nyumbu tunakubali na kuungama ya kwamba tulilifedhehesha na kulitia unajisi jiji letu.
Leo wananchi wote wa Manchester dua zetu zipo kwenu katika kuwaombea kurudisha Utakaso wa hili jiji letu adhimu.
Ewaah, leo ni siku ambayo jiji la manchester litazizima kwa nderemo na vifijo pale ambapo chokambaya Liverpussy atakutana na kichapo kizito na chenye kufedhehesha kutoka kwa kikosi cha wauwaji wa kipara ngoto, Josep Guardiola katika dimba hatari kabisa la etihad stadium.Nyie kina Mwasiti tunawaomba leo msituangushe, msikubali Liverpuuhhh kuligeuza hili jiji letu tukufu kua shamba la bibi.
Sisi kama Nyumbu tunakubali na kuungama kwa dhambi zetu za kulifedhehesha na kulitia unajisi jiji letu.
Leo wananchi wote wa Manchester dua zetu zipo kwenu katika kuwaombea kurudisha Utakaso wa hili jiji letu adhimu.
Liverpool wanatumia trick ya false no.9.Match ya Liverpool vs Man city mostly huwa inamalizwa kwenye midfield.
Anayemfinya mwenzie kwenye midfield ndiye anayepata matokeo.
We need to control the midfield in terms of dictating the pace of the game, that's the key weapon on both sides.