The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kesho tutachomoka kweli mazee ,maana Liverpool hata awe mbovu vip akikutana na sis huwa ni level nyingine....

Game zote za Liverpool huwa ni pressure tupu...
 
Mbona una wasi wasi mkuu

Mpira dakika tisini matokeo ni dalili za maamzi ya kocha na wachezaji

Hivyo waamini wachezaji wa city watatupa matokeo sahihi
 
Mim kila nikikutana Liverpool hata tuwe na form ipi sijawahi kuingia na confidence,hata fans uwanjan linapokuja swala la Liverpool kawaulize wanajua ....

Sijawahi ona game ambayo pep anashinda comfortable against Liverpool ukiachana na ile ya 5-0 mwaka 2017 ...
 
Kesho uhakika matokeo tunayo mazuri

Changamoto ya pep ni sub zinaweza kutuharibia
 
Jurgen Klopp: “If he [Erling Haaland ] can not play, and Julián Álvarez plays, that makes Man City different but not weaker… Álvarez is obviously a proper striker, but they became PL Champions without a striker, so they have different ways…”

[via Anfield Watch ]
 
Mim kila nikikutana Liverpool hata tuwe na form ipi sijawahi kuingia na confidence,hata fans uwanjan linapokuja swala la Liverpool kawaulize wanajua ....

Sijawahi ona game ambayo pep anashinda comfortable against Liverpool ukiachana na ile ya 5-0 mwaka 2017 ...
2021 Tuliwapiga 4-1 pale anfield, foden akapiga bonge la bao.
 
Liverpool mechi ya kwanza walitufunga sababu ya kukosekana utulivu pale nyuma, Akanji ile game alikua hana confidence kabisa, alikua anafanya makosa mara kwa mara.

Kumkosa Foden leo ni pengo kubwa sababu style yake ya uchezaji inafaa kabisa kucheza na mtu kama Alvarez (ana uwezekano mkubwa wa kuanza).

Alvarez leo hawezi kufanya physical battle na Van Dijk ama Konate hivyo tutegemee kumuona akishuka chini kuja kufanya link up na midfield na kutengeneza nafasi kwa ajili ya mawinga kushambulia.

Hii ingefanya kazi vizuri zaidi kama tungekuwa na winga ambaye yuko direct anayeingia ndani ya box kwenda ku exploit space Kama Foden.

Mahrez na Grealish huwa wanacheza pembeni tu muda mwingi.
 
Kesho tutachomoka kweli mazee ,maana Liverpool hata awe mbovu vip akikutana na sis huwa ni level nyingine....

Game zote za Liverpool huwa ni pressure tupu...
Match ya Liverpool vs Man city mostly huwa inamalizwa kwenye midfield.
Anayemfinya mwenzie kwenye midfield ndiye anayepata matokeo.

We need to control the midfield in terms of dictating the pace of the game, that's the key weapon on both sides.
 
Hata kwenye kupanga line up sometime huwa anayumba.
Leo mimi naomba aanze na walker kwenye right back maana pep huwa ana overthink anaanza na Stones.
Ukiona hivyo ujue pep anataka game control, Stones anakua anaenda kuadd numbers kwenye kiungo sababu ana utulivu, ni mpiga pasi mzuri na ana jiamini akiwa na mpira.

Risk ni wakati wa counter attacks, stones hawezi kupambana na Nunez linapokuja suala la speed.

Sidhani kama pep atakubali kujiweka kwenye risk ya namna hiyo.
 
Kama ni kumuanzisha stones basi aanze kama CB, kum expose kwa nunez ni kutafuta matatizo tu.
 
Kuna uwezekano wa pep kumrisk haaland leo.

Mchezaji pekee ambaye Pep kathibitisha kutokuwepo leo ni Phil Foden.
 
Nyie kina Mwasiti tunawaomba leo msituangushe, msikubali Liverpuuhhh kuligeuza hili jiji letu tukufu kua shamba la bibi.
Sisi kama Nyumbu tunakubali na kuungama kwa dhambi zetu za kulifedhehesha na kulitia unajisi jiji letu.
Leo wananchi wote wa Manchester dua zetu zipo kwenu katika kuwaombea kurudisha Utakaso wa hili jiji letu adhimu.
 
Sisi kama Nyumbu tunakubali na kuungama ya kwamba tulilifedhehesha na kulitia unajisi jiji letu.
Leo wananchi wote wa Manchester dua zetu zipo kwenu katika kuwaombea kurudisha Utakaso wa hili jiji letu adhimu.
Tingisha trako kwanza
 
Nyie kina Mwasiti tunawaomba leo msituangushe, msikubali Liverpuuhhh kuligeuza hili jiji letu tukufu kua shamba la bibi.
Sisi kama Nyumbu tunakubali na kuungama kwa dhambi zetu za kulifedhehesha na kulitia unajisi jiji letu.
Leo wananchi wote wa Manchester dua zetu zipo kwenu katika kuwaombea kurudisha Utakaso wa hili jiji letu adhimu.
Ewaah, leo ni siku ambayo jiji la manchester litazizima kwa nderemo na vifijo pale ambapo chokambaya Liverpussy atakutana na kichapo kizito na chenye kufedhehesha kutoka kwa kikosi cha wauwaji wa kipara ngoto, Josep Guardiola katika dimba hatari kabisa la etihad stadium.

Amin amin nakwambia, liverpussy hana ubavu wa kuchomoka kwa The Cityzens.

Naam, we are the cityzens.

City 4-1 liverpulu

Karibu.
 
Match ya Liverpool vs Man city mostly huwa inamalizwa kwenye midfield.
Anayemfinya mwenzie kwenye midfield ndiye anayepata matokeo.

We need to control the midfield in terms of dictating the pace of the game, that's the key weapon on both sides.
Liverpool wanatumia trick ya false no.9.

Gakpo anakua anashuka kutengeneza nafasi kwa salah na nunez, kumuacha mtu kama huyo azunguke free itatugharimu.
Tunahitaji mtu wa kuwa anampress cody gakpo na hapo ndipo ninapokuja kuuona umuhimu wa Portuguese pressing machine, bernado silva.
Mechi ya leo bernado anaweza kuwa decisive pale kati kama ataanza.
 
Back
Top Bottom