Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namtoa Jota anaingia Nunez
Namtoa Gapko anaingia Bobby
Nakupiga hapo hapo kwako na rasmi Arsenal bingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namtoa Jota anaingia Nunez
Namtoa Gapko anaingia Bobby
Nakupiga hapo hapo kwako na rasmi Arsenal bingwa
Aisee mbavu sina.Flano , kwa niaba ya mashabiki wenzangu wa city, tunawaomba radhi mashabiki wote wa nyumbu kwa kushindwa kukamilisha kazi mliyotutuma ya kuwalipia zile goli 7.
Tumejitahidi kadri ya uwezo wetu lakini imeshindikana.
Tunawaomba mpokee hiki kidogo tulichopatà huku tukiomba msamaha kwa kuwaangusha.
Unasemaje kwanNyie ataingia Palmer?
Eheheheheeh
Na kweli kamalizaNakupiga haina ubishi
Nunez anakuja imaliza
Kweli arsenal bingwa rasmiNamtoa Jota anaingia Nunez
Namtoa Gapko anaingia Bobby
Nakupiga hapo hapo kwako na rasmi Arsenal bingwa
Bado tuuBado 2 iishe
Mungu alikua kasinzia wakati unaomba?Mungu asaidie tuwadondoshe hizo race za ubingwa ili Arsenal achukue ubingwa kiulainiii Mungu saidie tuwachakaze hawa ma shit
Na kweli tumenyookaMtanyooka
SawasawaNyie ni wachumba wa liver tu
Nilimuona pia, alikua anaingia ndani ya box sio kama siku zingine.Heat map ya grealish inaonyesha leo alitumia muda mwingi kwenye box la Liverpool na sio pembeni kama tulivyomzoea.
Lile goli la alvarez akashangilia mbele tsimikas.il pep ,ile scene kdb kafunga then wachezaji wa Liverpool Wana fanya warm up pembeni akawa anashangilia anawapa mkono [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Lile goli la alvarez akashangilia mbele tsimikas.