Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Tukupe manyanga kabisa pamoja na kaniki nyeusi,nyeupe na nyekundu?Arsenal hawez mfunga Liverpool anfield mazee ....
Akidondosha point anfield ,anakuja Etihad tunamgonga kwisha habari yake ....
Kwenye game mbili za Chelsea na arsenal ,hapa lazima Liverpool ataamka na mmoja wao .......
Arsenal hawez mfunga Liverpool anfield mazee ....
Akidondosha point anfield ,anakuja Etihad tunamgonga kwisha habari yake ....
Kwenye game mbili za Chelsea na arsenal ,hapa lazima Liverpool ataamka na mmoja wao .......
Tunashinda mechi zote zilobaki tutolee shobo rudi kwa wachov wenzio.Ila Man City yy atashinda kila game?
Mnachekesha sana
EPL is over since December
Arsenal mabingwa
Liva ataamkia kwa arsenal, hata wawe wabovu vp arsenal pale anfield hana chake af sisi tunakuja kumaliza kazi pale etihad.Arsenal hawez mfunga Liverpool anfield mazee ....
Akidondosha point anfield ,anakuja Etihad tunamgonga kwisha habari yake ....
Kwenye game mbili za Chelsea na arsenal ,hapa lazima Liverpool ataamka na mmoja wao .......
Unajinyea wewe amka ndotoni..Arsenal hawez mfunga Liverpool anfield mazee ....
Akidondosha point anfield ,anakuja Etihad tunamgonga kwisha habari yake ....
Kwenye game mbili za Chelsea na arsenal ,hapa lazima Liverpool ataamka na mmoja wao .......
Kilimo cha matikiti kwenye karatasi.Liva ataamkia kwa arsenal, hata wawe wabovu vp arsenal pale anfield hana chake af sisi tunakuja kumaliza kazi pale etihad.
Arsenal point 1 itamkosesha ubingwa kama mwenzie liverpool.
Bado safari ni ndefu Sana ,Bado una game na Newcastle pale st James park [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajinyea wewe amka ndotoni..
Na ukifika miaka 50 kama hautakuwa mganga basi utakua unapaa na ungo angani!
Arsenal ndo bingwa wenu.
Hutaki, kunya jiwe!
Kule argentina wanamwita La arana..our spider man ..View attachment 2573684
Aisee tusipopata majeruhi, sioni kama kuna wa kutuzuia kufikia nchi ya ahadi (treble).Hapa foden na haaland wapone tuendelee kutembeza bakora mpaka akili ziwakae sawa.
Haaland ni clinical finisher ,ni mrefu ,ana miguu mirefu ,Kwa hiyo cross nyingi kwenye box Kuna asilimia 90 kuziwin nakutupia kambani ...tofauti na Alvarez ...Kule argentina wanamwita La arana.
Nina imani sana na huyu jamaa, Kahusika kwenye magoli matatu kati ya manne.
To be honest, kuna kitu extra alvarez ana offer zaidi ya haaland ukiachana na finishing ambapo haaland hana mpinzani.