The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.good morning [emoji91]
mancity-20230402-0001.jpg
 
Aisee gari limewaka, toka tudroo na nottingham watu wametembezewa vichapo tu.

Kwa momentum tuliyonayo, hamna wa kutufunga kwa sasa pale EPL, hata wa kupata droo simuoni.
 
[emoji2788] Pep Guardiola on Julián Alvarez: “He is a World Champion for a reason, playing alongside Leo Messi. Not only the goal, but the assist for the second, the third...he was involved in everything. With the ball, he's so smart. He's an exceptional player." [emoji170] [emoji1033]
mancity-20230402-0003.jpg
 
Arsenal hawez mfunga Liverpool anfield mazee ....

Akidondosha point anfield ,anakuja Etihad tunamgonga kwisha habari yake ....

Kwenye game mbili za Chelsea na arsenal ,hapa lazima Liverpool ataamka na mmoja wao .......
 
Ila Man City yy atashinda kila game?
Mnachekesha sana
EPL is over since December
Arsenal mabingwa
 
Arsenal hawez mfunga Liverpool anfield mazee ....

Akidondosha point anfield ,anakuja Etihad tunamgonga kwisha habari yake ....

Kwenye game mbili za Chelsea na arsenal ,hapa lazima Liverpool ataamka na mmoja wao .......
Liva ataamkia kwa arsenal, hata wawe wabovu vp arsenal pale anfield hana chake af sisi tunakuja kumaliza kazi pale etihad.

Arsenal point 1 itamkosesha ubingwa kama mwenzie liverpool.
 
Arsenal hawez mfunga Liverpool anfield mazee ....

Akidondosha point anfield ,anakuja Etihad tunamgonga kwisha habari yake ....

Kwenye game mbili za Chelsea na arsenal ,hapa lazima Liverpool ataamka na mmoja wao .......
Unajinyea wewe amka ndotoni..

Na ukifika miaka 50 kama hautakuwa mganga basi utakua unapaa na ungo angani!

Arsenal ndo bingwa wenu.

Hutaki, kunya jiwe!
 
Hapa foden na haaland wapone tuendelee kutembeza bakora mpaka akili ziwakae sawa.
 
Unajinyea wewe amka ndotoni..

Na ukifika miaka 50 kama hautakuwa mganga basi utakua unapaa na ungo angani!

Arsenal ndo bingwa wenu.

Hutaki, kunya jiwe!
Bado safari ni ndefu Sana ,Bado una game na Newcastle pale st James park [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Game na Newcastle nakuhakikishia ushindi wako ni draw ...

Wanatafuta top 4 Kwa udi na uvumba ...
 
Hapa foden na haaland wapone tuendelee kutembeza bakora mpaka akili ziwakae sawa.
Aisee tusipopata majeruhi, sioni kama kuna wa kutuzuia kufikia nchi ya ahadi (treble).

Mwezi huu ndio utatupa picha kamili, tumeuanza kibabe, tuuishi kibabe na tuumalize kibabe.

#A journey to the promised land#

Southampton up next.
Here we go the cityzens.
 
Kule argentina wanamwita La arana.
Nina imani sana na huyu jamaa, Kahusika kwenye magoli matatu kati ya manne.
To be honest, kuna kitu extra alvarez ana offer zaidi ya haaland ukiachana na finishing ambapo haaland hana mpinzani.
Haaland ni clinical finisher ,ni mrefu ,ana miguu mirefu ,Kwa hiyo cross nyingi kwenye box Kuna asilimia 90 kuziwin nakutupia kambani ...tofauti na Alvarez ...

Alvarez ni mzuri kwenye build up , kwenda mbele ....

Mfano unaona Lile goli la pili alilofunga kdb dakika 46 ,ile long ball kuhamisha uwanja upande kumtafuta Mahrez kule juu alipiga Alvarez....ambapo Mahrez alifikia mpira Yuko free akapiga cross chin kdb akajaa kambani ....kitu ambacho haaland hawezi .....

Unaweza kuona Alvarez anadrop chin kabisa huku ,wakati halaand anapenda kukaa katikati ya defender kufanya mikimbio wampigie pass kwenda mbele ...

Alvarez anaweza kucheza false 9 kuliko natural striker ....
 
Back
Top Bottom