Jamaa na vipasi vyao leo wamekamatika, ikabidi wapaki basi tu hakuna namna.Arsenal wajinga kweli walivyoongoza goli 2 nikazima na tv nakuja kucheki nakuta 2-2.
Sasa hii timu haijui hata maana ya race ni nini, washazoea kushindania nafas za europa, hivi vitu vigen kwao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Arsenal wajinga kweli walivyoongoza goli 2 nikazima na tv nakuja kucheki nakuta 2-2.
Sasa hii timu haijui hata maana ya race ni nini, washazoea kushindania nafas za europa, hivi vitu vigen kwao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama kuna timu za kijinga basi liverpool ni ya kwanza.
Asanteni sana liverkuku.Nyie mama Cita mtushukuru sana
Japo haikuwa nia yetu kuwasaidia
[emoji38]Asanteni sana liverkuku.
Our Treble is knocking 🤍[emoji170][emoji3590]
Hapo ni mwendo wa kutembeza vipigo vya goli 3+Na sio kushinda tu, kushinda kwa kishindo sababu kuna uwezekano wa kuja kuamuliwa na Goal Difference.
Mpaka sasa tunawazidi GD by 5.
Mlitaka mniharibie siku nyie watu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamna lolote mlitakiwa kushinda hiyo game mkabaki mnarukaruka tu.Nyie mama Cita mtushukuru sana
Japo haikuwa nia yetu kuwasaidia
Cha mhimu tuongeze GD,harafu arsenal akija Etihad tumfunge ...Ila football bwana, yani tukishinda mechi zetu zote kuna uwezekano mkubwa arsenal akaondoka trophyless pamoja na kuongoza ligi kwa zaidi ya robo tatu ya msimu.
Kwa mentality waliyoonyesha jana, inaonyesha kabisa hawawezi kuhimili pressure ya big & season defining games kitu ambacho sisi tumekifanya kwa zaidi ya miaka 5 sasa.Cha mhimu tuongeze GD,harafu arsenal akija Etihad tumfunge ...
Kiufupi tufunge game zetu zote ....ubingwa tunachukua ....
Kumpiga arsenal ni utamaduni wetu.Cha mhimu tuongeze GD,harafu arsenal akija Etihad tumfunge ...
Kiufupi tufunge game zetu zote ....ubingwa tunachukua ....
Acha ujinga wewe Manshit Arsenal Ni timu kubwa mara million ya ManshitKwa mentality waliyoonyesha jana, inaonyesha kabisa hawawezi kuhimili pressure ya big & season defining games kitu ambacho sisi tumekifanya kwa zaidi ya miaka 5 sasa.
Arsenal bado utoto mwingi, Bado wanafikiri wanashindana na west ham kwenye europa race.