Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Jamaa na vipasi vyao leo wamekamatika, ikabidi wapaki basi tu hakuna namna.Arsenal wajinga kweli walivyoongoza goli 2 nikazima na tv nakuja kucheki nakuta 2-2.
Sasa hii timu haijui hata maana ya race ni nini, washazoea kushindania nafas za europa, hivi vitu vigen kwao.
Sisi tuliwapakia basi na tukashinda 3.
Wao wamepaki basi na goli zote zimerudi.
A Europa-race mentality.