The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Aisee, what a goal from rodri, bayern tumewacontain vizuri sana, solid perfomance from ruben dias.
 
Jamani Gundogan alitaka kutupatia goli la 2 kipi kajitahidi kuzuia tungekuwa tunaongea habari nyingine saa hii
 
Nlifikiri tutavuja ila mpaka sasa tumehold our ground, second half watakuja kupress zaidi kwaiyo inabidi kukaza buti haswa.
 
Yan bernado na grealish mentality yao ya kurudi kutukabia tukiwa tunashambuliwa inatubeba mno . Kudos man city
Jamaa wanakua wanatrack back mpaka raha yan,,nafikiri ndio sababu kawaanzisha kwenye both flanks badala ya mahrez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…