FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
SawaHamna timu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaHamna timu hapa
City 1:0 bayern.. 38'Leteni Updates Hizo
Goli moja lisikufanye usahau matatizo ya man cityHawa bayern wanapigika kumbe.
Ake na dias pale nyuma hawana masihara
Jamaa wanakua wanatrack back mpaka raha yan,,nafikiri ndio sababu kawaanzisha kwenye both flanks badala ya mahrezYan bernado na grealish mentality yao ya kurudi kutukabia tukiwa tunashambuliwa inatubeba mno . Kudos man city