Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
Tuliza ndumkuHaka katimu bhana
,Chelsea wameingia na mfumo wa kupaki bus 5:3:2 lakin first half washaliwa [emoji23]...Wameshajilalia zao[emoji23]
Wale Madrid wanabadilika ndugu hasa inapokuwa nusu fainal au fainali, hawanaga masihara hata wakiwa wabovuHuyu Madrid kama akiendelea kucheza hivi ,basi hataamin kitakacho mkuta tukikutana ...
Chesii haina tofauti na viziwi FC ya Njombe,Chelsea wameingia na mfumo wa kupaki bus 5:3:2 lakin first half washaliwa [emoji23]...
Waliingia na mentality ya kutaka draw ,Bora wangefunguka tu ...
Reece jame kila ikipeleka mpira mbele ,umerudisha na mkatili vinn[emoji91][emoji23]
Napoli jana wamecheza ujinga kiukweli ukizingatia walimkosa main man wao pale mbele Victor Osimhen.Kwa mpira wa AC Milan na Napoli, naona kuna team moja ya Milan itaenda fainali.
Game plan zinatofautiana.Huyu Madrid kama akiendelea kucheza hivi ,basi hataamin kitakacho mkuta tukikutana ...
Owa chali angu imekuaje tena?Mwacity upara fc mkipata kombe lolote msimu huu naacha kutumia jf
Giovanni simeone pia ambaye angekuwa replacement ya Osimhen nae hakuwa available.Napoli jana wamecheza ujinga kiukweli ukizingatia walimkosa main man wao pale mbele Victor Osimhen.
Napoli kama akipita kwenda semi, basi sioni kama atamtoa Inter milan (Kwa upande wangu inter milan wana 99% ya kwenda semi).
Napoli wataangushwa na ukosefu wa experience kwenye haya mashindano, ndio robo fainali yao ya kwanza ya UEFA kwenye historia yao.
Hapana sidhani kama hilo litatokea, hata hivyo kdb baada ya kupata ile "knock", energy yake ilionekana kupungua kwenye pressing tofauti na mwanzo.Hivi hii inshu ya kdb haiwezi kuleta heat kwenye dressing room kweli?
maana jamaa alimmaindi kabisa pep kumtoa dakika ya 68 kwenye mechi kubwa kama hiyo na alikua anaupiga mwingi tu.