The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Jana pep alikua hana amani sijawahi ona asee.

Moto waliokuwa wanaleta bayern ni noma.
 
Wameshajilalia zao[emoji23]
,Chelsea wameingia na mfumo wa kupaki bus 5:3:2 lakin first half washaliwa [emoji23]...

Waliingia na mentality ya kutaka draw ,Bora wangefunguka tu ...

Reece jame kila ikipeleka mpira mbele ,umerudisha na mkatili vinn[emoji91][emoji23]
 
Kwa mpira wa AC Milan na Napoli, naona kuna team moja ya Milan itaenda fainali.
 
Chesii haina tofauti na viziwi FC ya Njombe
 
Kwa mpira wa AC Milan na Napoli, naona kuna team moja ya Milan itaenda fainali.
Napoli jana wamecheza ujinga kiukweli ukizingatia walimkosa main man wao pale mbele Victor Osimhen.

Napoli kama akipita kwenda semi, basi sioni kama atamtoa Inter milan (Kwa upande wangu inter milan wana 99% ya kwenda semi).

Napoli wataangushwa na ukosefu wa experience kwenye haya mashindano, ndio robo fainali yao ya kwanza ya UEFA kwenye historia yao.
 
Huyu Madrid kama akiendelea kucheza hivi ,basi hataamin kitakacho mkuta tukikutana ...
Game plan zinatofautiana.

Kwa mwaka huu atleast tukikutana na real (kama tukitoka vizuri pale Allianz) tutakutana nae tukiwa na solid defence kuliko msimu uliopita maana ndio eneo pekee lilitoangusha mbele ya madrid.
 
Napoli jana wamecheza ujinga kiukweli ukizingatia walimkosa main man wao pale mbele Victor Osimhen.

Napoli kama akipita kwenda semi, basi sioni kama atamtoa Inter milan (Kwa upande wangu inter milan wana 99% ya kwenda semi).

Napoli wataangushwa na ukosefu wa experience kwenye haya mashindano, ndio robo fainali yao ya kwanza ya UEFA kwenye historia yao.
Giovanni simeone pia ambaye angekuwa replacement ya Osimhen nae hakuwa available.
Kuna watu wameipa Napoli nafasi ya kuchukua kombe.
 
Hivi hii inshu ya kdb haiwezi kuleta heat kwenye dressing room kweli?
maana jamaa alimmaindi kabisa pep kumtoa dakika ya 68 kwenye mechi kubwa kama hiyo na alikua anaupiga mwingi tu.
 
Hapana sidhani kama hilo litatokea, hata hivyo kdb baada ya kupata ile "knock", energy yake ilionekana kupungua kwenye pressing tofauti na mwanzo.
Pep alitaka perfection akaamua kumtoa na kumuingiza alvarez ili kumantain intensity ya timu kwenye pressing.

Sioni kama kuna tatizo la kuleta shida dressing room.
 
Back
Top Bottom