The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

...kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... nyie kama Spurs tu, kelele miiiiingi, hamkujua soda ni gesi tu?

kwaherini!

Safari ndefu haikosi vipingamizi.Man Cityinahitaji marekebisho kidogo tu,na itafika big 4.Kwa mfano mechi ya jana ambapo Fulham walisawazisha na kuwa 2-2 iliuma sana hasa baada ya ManCity kuongoza 2-0 hadi half time.
 
Hapa wenyeji ndio wamekimbia kabisa naona draw zinawaandama alafu mshukuru mna kipa mzuri angekuwa kimeo mngetunguliwa nyingi tuu.
 
Mmh!, naona mambo hayajakaa vizuri mpaka sasa hivi M. City 0 - Burnley 2. Kazeni buti M. City, dakika bado nyingi.
 
Yani hawa rich boyz wanatoa draw ya 5 mfululizo heheh. Ndio maana Makalangilo alihamua kulikimbia hili jukwaa mapema.
 
Man City bado sana ,labda baada ya misimu 2
 
Bao 2 - 2 dakika ua 77.

Bao limekombolewa within seconds by Liverpool.
Ngoma inanoga sasa.
 
Kasheshe kwanza makocha wote wamekalia kitimoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…