Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Nimeipenda hiyo ya Tevez kuapologize....sio kama yule dogo Ade.......!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii mechi ndio tutajua uwezo wa man city katika ligi, kwa ajili aston villa ni timu nzuri kweliRoque is fit and Ade will be also available for the match against Aston Villa.I hope Man City will continue their fight as usual despite the absence of Robinho.Good luck!!
hii mechi ndio tutajua uwezo wa man city katika ligi, kwa ajili aston villa ni timu nzuri kweli
baada ya Adegate nadhani Hugh kawaonya all city players kushangiria against old club, si ulimuona Tevez?Richard Dunne Jamaa Mstaarabu sana licha ya kufunga goli hajashangilia wala kuwadharau Man City team aliyokuwa skipper kabla hajarushiwa virago na kuja Aston Villa!
baada ya Adegate nadhani Hugh kawaonya all city players kushangiria against old club, si ulimuona Tevez?
Tevez kule Westham ni Legend...si unakumbuka alivyookoa kushuka msimu uleee?
1-0 to Villa na wanaonekana kama ndio watafunga la pilitupeni data za leo mazeee.... ngapingapi kati ya Villa na pretenders?