Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kamaa wanasumbua kiasi hiki wakati kuna wacheza wali mhimu wako nje...je wakipona/wakimaliza azabu itakuwaje manu atasawazisha hata kama ni dakika ya 150mwaka huu man city wamejipanga vizuri sana watatoa ushindani wa kweli, ila sio chama langu
Carlos Tevez kwa mara nyingne tena
Yeye ndiyo alie funga goal la kwanza na latatu kafunga yeye...hivyo man city 3 west ham 1Ngapi ngapi??
manu kwa kubebwa ndo wenyewe teeeeehhhhdakika ya 90, zimeongezwa dakika 3 siyo 8 kama mechi ya manu