The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mwezi Huu tuna mechi 5 za PL, mpaka sasa watatu washakaa.

9/15
 
Assist ya Jana ya kdb ilikua ni assist yake ya 8 kwa haaland msimu huu.

Hiyo inamfanya kuwa mchezaji aliyepiga assist nyingi zaidi kwa mchezaji mmoja ndani ya msimu mmoja.
 
Erling haaland ameifikia record ya mo salah ya kufunga magoli mengi zaidi ndani ya msimu mmoja (magoli 32).

Andy cole na Alan shearer wao walimaliza na magoli 34 lakini kipindi hicho ligi ilikua na timu 22 badala ya 20 za sasa, hivyo kulikua na mechi 4 zaidi za kucheza (round 42 badala ya 38 za sasa)
 
Tungeondoka na cleen sheet ingekua vizuri zaidi, Leicester wametupunguzia GD
Zile sub zime disrupt rhythm ya uchezaji.

Baada ya pep kurush zile sub za kina palmer,lewis,Gomez Phillips n.k, ndio unaona Leicester wakapata uhai.

All in all safety first, kupumzisha wachezaji ni jambo la maana coz we still have unfinished business with the Bavarians.
 
Buyern tunaenda kuwachapa huko huko , kiufupi Toka TT afike buyern wamepoteana kabisa ,Bora angekuwepo neglesiman .....

Buyern saizi wanacheza kama Chelsea ...
 
Buyern tunaenda kuwachapa huko huko , kiufupi Toka TT afike buyern wamepoteana kabisa ,Bora angekuwepo neglesiman .....

Buyern saizi wanacheza kama Chelsea ...
Bayern nimeangalia hata ile mechi yao ya Jana wanacheza ilimradi tu.
 
Only 3 clubs have won the Fifa Club World Cup in England.
1.Chelsea.
2.Liverpool.
3.Manchester United.

Only 5 clubs have won the Uefa Champions League in England.
1.Liverpool.
2.Manchester United.
3.Chelsea.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.

Only 5 clubs have won the Uefa Europa League in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Tottenham Hostpur.
4.Manchester United.
5.Ipswitch Town.

Only 5 clubs have won the Uefa Super Cup in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Manchester United.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
.
.
.
.
If you are looking for small clubs like Manchester City and Arsenal on this list, I am m sorry you can't find them🙄🙄🙄.
 
Kwa hiyo unataka tukusaidie ,nin hizo histroria wapelekea watoto wa shule ya msingi wakasome ...
 
Hiyo uefa na super cup ndio tunaenda kuyabeba mwaka huu, poleni sana.
 
Jana walivyoingia kina palmer timu ilipwaya asee, almanusura Leicester warudi mchezoni.
Jana pep aliliongelea Hilo ,kufanya rotation ni risk kubwa mno ....


Ndio maana hata mwaka Jana UEFA against Madrid alifanya huo ujinga dakika ya 80 ,kuwatoa kina kdb , Mahrez,bernado ambao walikuwa kwenye form na kuingiza kina grealish ambao hawakuwa na msimu mzuri Toka mwanzo .....kilichotukuta ni kupigwa goli mbili za faster dakika ya 90 ....
 
Ila Gomez na palmer hawa madogo amna kitu aisee, huwa najiuliza kwanini palmer aliingizwa first team halafu McAtee akapelekwa Sheffield.
James McAtee yuko vizuri kuliko palmer.
 
Pep kashajifunza michuano kama Uefa inahitaji kukomaa mpaka mwisho..

Sasa hivi line up ya city ni predictable tofauti na misimu iliyopita.

Sehemu pekee ambayo inaweza kuwa inabadilika badilika ni RW ambapo kuna Bernardo, mahrez, na foden akishapona kwingine kote ni bandika bandua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…