FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Weka jichoOna huyu mwalimu mkuu mama ako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka jichoOna huyu mwalimu mkuu mama ako
Kumeshakucha mkuu.Matokeo ndio yatakuw hiviView attachment 2589302
Zile sub zime disrupt rhythm ya uchezaji.Tungeondoka na cleen sheet ingekua vizuri zaidi, Leicester wametupunguzia GD
Buyern tunaenda kuwachapa huko huko , kiufupi Toka TT afike buyern wamepoteana kabisa ,Bora angekuwepo neglesiman .....Zile sub zime disrupt rhythm ya uchezaji.
Baada ya pep kurush zile sub za kina palmer,lewis,Gomez Phillips n.k, ndio unaona Leicester wakapata uhai.
All in all safety first, kupumzisha wachezaji ni jambo la maana coz we still have unfinished business with the Bavarians.
Bayern nimeangalia hata ile mechi yao ya Jana wanacheza ilimradi tu.Buyern tunaenda kuwachapa huko huko , kiufupi Toka TT afike buyern wamepoteana kabisa ,Bora angekuwepo neglesiman .....
Buyern saizi wanacheza kama Chelsea ...
Kwa hiyo unataka tukusaidie ,nin hizo histroria wapelekea watoto wa shule ya msingi wakasome ...Only 3 clubs have won the Fifa Club World Cup in England.
1.Chelsea.
2.Liverpool.
3.Manchester United.
Only 5 clubs have won the Uefa Champions League in England.
1.Liverpool.
2.Manchester United.
3.Chelsea.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
Only 5 clubs have won the Uefa Europa League in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Tottenham Hostpur.
4.Manchester United.
5.Ipswitch Town.
Only 5 clubs have won the Uefa Super Cup in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Manchester United.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
.
.
.
.
If you are looking for small clubs like Manchester City and Arsenal on this list, I am m sorry you can't find them[emoji849][emoji849][emoji849].
Hiyo uefa na super cup ndio tunaenda kuyabeba mwaka huu, poleni sana.Only 3 clubs have won the Fifa Club World Cup in England.
1.Chelsea.
2.Liverpool.
3.Manchester United.
Only 5 clubs have won the Uefa Champions League in England.
1.Liverpool.
2.Manchester United.
3.Chelsea.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
Only 5 clubs have won the Uefa Europa League in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Tottenham Hostpur.
4.Manchester United.
5.Ipswitch Town.
Only 5 clubs have won the Uefa Super Cup in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Manchester United.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
.
.
.
.
If you are looking for small clubs like Manchester City and Arsenal on this list, I am m sorry you can't find them🙄🙄🙄.
Jana pep aliliongelea Hilo ,kufanya rotation ni risk kubwa mno ....Jana walivyoingia kina palmer timu ilipwaya asee, almanusura Leicester warudi mchezoni.
Ila Gomez na palmer hawa madogo amna kitu aisee, huwa najiuliza kwanini palmer aliingizwa first team halafu McAtee akapelekwa Sheffield.Zile sub zime disrupt rhythm ya uchezaji.
Baada ya pep kurush zile sub za kina palmer,lewis,Gomez Phillips n.k, ndio unaona Leicester wakapata uhai.
All in all safety first, kupumzisha wachezaji ni jambo la maana coz we still have unfinished business with the Bavarians.
Pep kashajifunza michuano kama Uefa inahitaji kukomaa mpaka mwisho..Jana pep aliliongelea Hilo ,kufanya rotation ni risk kubwa mno ....
Ndio maana hata mwaka Jana UEFA against Madrid alifanya huo ujinga dakika ya 80 ,kuwatoa kina kdb , Mahrez,bernado ambao walikuwa kwenye form na kuingiza kina grealish ambao hawakuwa na msimu mzuri Toka mwanzo .....kilichotukuta ni kupigwa goli mbili za faster dakika ya 90 ....