The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep anasema tukio la ugomvi kati ya Sane na Mane inaweza kuleta motisha kwa Bayern Munich kuelekea mchezo wa jumatano.

Suspension ya Mane imeshaisha na atakuwepo hiyo siku.
Bayern akikomboa goli 3 basi tutakua tuna laana special.
 
Moja kati ya makocha wanaofanyiwa usaili pale chelsea ni Vincent Kompany.
 
Pep anasema tukio la ugomvi kati ya Sane na Mane inaweza kuleta motisha kwa Bayern Munich kuelekea mchezo wa jumatano.

Suspension ya Mane imeshaisha na atakuwepo hiyo siku.
Hiyo ni namna ya kujenga mentality ya kupambana kwa wachezaji.
Wale ni kuwapelekea moto tu tukishawatoboa kimoja tunatulia, beki yao inavuja.
Wasipokua makini na huko huko kwao tutawapa tatu zingine.
 
Bastian Schwastaigger katabiri fainali ya UEFA itakuwa ni:

MAN CITY vs AC MILAN

Huyu mwamba kwa miaka ya hivi karibuni timu anazozipa favour kwenye tabiri zake outcome huwa inakuja vice versa, isije ikawa katupa laana huyu.
 
EPL wako kwenye hatua za kuongeza kamera nne kwenye eneo la penati (penalty box) ili kunasa matukio katika pembe tofauti tofauti ndani ya eneo hilo hivyo kuongeza ufanisi wa maamuzi yatakayotolewa .

Kumekuwa na malalamiko kwa marefa kushindwa kuona baadhi ya matukio ambayo yanakuwa kwenye "angle ngumu" ndani ya box la penati hivyo kupelekea kutoa maamuzi yasiyo sahihi.

Hii itaanza kufanya kazi kuanzia msimu ujao iwapo tu angalau timu 14 kati ya 20 za ligi kuu zitakubaliana na hili.
 
Bastian Schwastaigger katabiri fainali ya UEFA itakuwa ni:

MAN CITY vs AC MILAN

Huyu mwamba kwa miaka ya hivi karibuni timu anazozipa favour kwenye tabiri zake outcome huwa inakuja vice versa, isije ikawa katupa laana huyu.
Hapo ac milan kuna huyo dogo anaitwa Braham diaz, huyu dogo sijui ilikuaje tukamuuza. Ni winga moja matata sana.
 
Hapo ac milan kuna huyo dogo anaitwa Braham diaz, huyu dogo sijui ilikuaje tukamuuza. Ni winga moja matata sana.
Huyu baada ya kugraduate academy madrid walileta mpunga na kama unavyojua city haina sera za kung'ang'ania mchezaji.

Na kipindi hicho kwenye winga tulikua na sterling,,mahrez,sane.... yeye kupata game time ilikua ngumu.
Diaz yule ni foden mtupu.
 
Jana Trent alikua anacheza kama inverted full back, for the first time this season nimemuona Trent halisi jana.
Alikuwa kwenye kiwango bora sana, nilikuwa sielewi klopp alikua wapi kuchukua hatua kama hii mapema na wakati anajua mid yake inahitaji damu changa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…