The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nyie kenge Mwacity na arsenyeto mna tofauti gani

Nanunua kombe la UEFA aliloshinda Mwacity au arsenyeto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 2592976
Nyie kenge Mwacity na arsenyeto mna tofauti gani

Nanunua kombe la UEFA aliloshinda Mwacity au arsenyeto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho kikombe tunakibeba mwaka huu amna wa kutuzuia,sijaona.

Tukishatoka kumsulubu bayern leo unafata wewe, utawaonea kina livapunda na cheltako lakini sio The cityzens hii ikiwa ina jini haaland ndani yake.
 
Leo pep sijui ataingia na approach gani, hii mechi inabidi achange karata zake vizuri tusije kunyang'anywa tonge mdomoni maana kwa bayern leo itakua ni all out war.
 
Leo pep sijui ataingia na approach gani, hii mechi inabidi achange karata zake vizuri tusije kunyang'anywa tonge mdomoni maana kwa bayern leo itakua ni all out war.
Defensive game itakuwa ni bad move, hatutakiwi kuingia kwa kuwaogopa, tunahitaji kujiamini na kuingia kwa lengo la kwenda kutafuta magoli zaidi.

Nategemea pep ataingia na approach ya kutawala mchezo zaidi, kudictate pace ya game na kuwa aggresive golini kwao. Sitegemei kurudia makosa yaleyale ya msimu uliopita ya kumuogopa mpinzani.

We have to conquer them.
 
Kuwaruhusu bayern wakae na mpira itakua ni kosa sababu wana uwezo mkubwa wa kufungua safu ya ulinzi ya timu pinzani hata game ya kwanza walikua na threat kubwa sana golini kwetu.

Kinachotakiwa ni kuingia kwa lengo la kuhakikisha tunatafuta magoli kwa sababu chini ya Tuchel, defense ya bayern haija settle kabisa hivyo sioni kama tunaweza kukosa chochote kama tutapandisha mipira kwenda golini kwao.
 
Kumdominate bayern si kazi rahisi. Kumbuka bayern pia yupo vizuri katika kumiliki mali kutengeneza nafasi.

Wachezaji wao wana nguvu za kukimbia dakika zote 90 na wana viungo wanaotengeza nafasi kibao kila mechi hapo hujaongelea quality ya sub. Kitu pekee City ana advantage over Bayern ni City wana jini Haaland bayern hawana clinical finisher.

Naona City akipata goli kabla ya Bayern itafanya game kuwa rahisi. Otherwise it will be an all-out-war in Munich.
 
Wako vizuri lakini haimaanishi twende kwa mentality ya kudefend. Inatakiwa tuingie tukiwa na mindset ya kwenda kutafuta magoli kama wao watakavyoingia kwa lengo la kulipa goli 3, rusha ngumi nirushe teke.

Kuwaachia bayern mpira litakuwa ni kosa kubwa sana, inabidi nawao wawe under pressure.
The best way to defend is to attack.
 
Leo pep sijui ataingia na approach gani, hii mechi inabidi achange karata zake vizuri tusije kunyang'anywa tonge mdomoni maana kwa bayern leo itakua ni all out war.
Bayern leo watakuja kwa nguvu zote na wanaweza wakatikisa nyavu zetu pia.
Cha muhimu ni kuhakikisha hatukai kinyonge, tuwaonyeshe kwamba bado tunaweza kuwadhuru palepale kwao, tujiamini na tucheze mpira wetu wa siku zote.
 
Msimu uliopita kwenye mechi ya second leg ya real, pep aliingia na semi-defensive approach ambayo ilitukost tukawa tunapigapiga pasi tu bila aggressiveness yeyote kulinda ushindi wa 4-3.

Leo pia naona atataka timu ikae na mpira lakini itakua vyema zaidi tukakaa na mpira kwa malengo ya kutafuta magoli kuliko kukaa na mpira ili kupoteza muda kama tulivyofanya kwa madrid.
 
Kwenye game kama hizi, micro analysis na overthinking ya pep ndio huwa vinatuangusha.
 
Bayern leo watakuja kwa nguvu zote na wanaweza wakatikisa nyavu zetu pia.
Cha muhimu ni kuhakikisha hatukai kinyonge, tuwaonyeshe kwamba bado tunaweza kuwadhuru palepale kwao, tujiamini na tucheze mpira wetu wa siku zote.
Pep game za second leg huwa anayakoroga mwenyewe, huwa ana overthink na hii imekua trend yake toka alipokuja city.

Hawezi kustick kwenye basics, ngoja leo tuone.
 
Hii game itakua piga nikupige.
Safu ya mashambulizi ndiyo itakua decisive maana kuwazuia bayern leo wasifunge itakua ngumu lakini na wao kutuzuia tusiwafunge itakua ngumu.

Tutawang'ang'ania 2-2 halafu twaruka zetu semi final.
 
yan pep leo akileta us3nge wake wa overthinking akifungwa tu asepe, aweke fulu mkoko ili tukifungwa tujue moja tu japo kufumgwa 3plus ni 10%
 
Leo champions to be tuko dimbani, siku nyingine tena ya kufurahia mbungi tamu.

Wakati wanaume tunakiwasha kuna watu kuona timu zao uwanjani ni jumapili hadi jumapili ijayo, jumamosi hadi jumamosi ijayo, mateso yasiyo na kifani
 
Tutakutana hapa baada ya mechi, mpira una maajabu yake ila nitashangaa sana kama sisi Bavarians tutawatoa man city...Gute Nacht.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…