Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Nyie kenge Mwacity na arsenyeto mna tofauti gani
Nanunua kombe la UEFA aliloshinda Mwacity au arsenyeto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kikombe tunakibeba mwaka huu amna wa kutuzuia,sijaona.View attachment 2592976
Nyie kenge Mwacity na arsenyeto mna tofauti gani
Nanunua kombe la UEFA aliloshinda Mwacity au arsenyeto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile mbeleko za mwaka jana hamtozipata mwaka huu, nyie kakomaeni na copa del rey tu huku mtupishe mabingwa watarajiwa.Uzuri wa madridstar hatunaga Maneno mingi
BENZEMA ANAWASALIMIA
RODRYGO ANAWASALIMIA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Defensive game itakuwa ni bad move, hatutakiwi kuingia kwa kuwaogopa, tunahitaji kujiamini na kuingia kwa lengo la kwenda kutafuta magoli zaidi.Leo pep sijui ataingia na approach gani, hii mechi inabidi achange karata zake vizuri tusije kunyang'anywa tonge mdomoni maana kwa bayern leo itakua ni all out war.
Kumdominate bayern si kazi rahisi. Kumbuka bayern pia yupo vizuri katika kumiliki mali kutengeneza nafasi.Defensive game itakuwa ni bad move, hatutakiwi kuingia kwa kuwaogopa, tunahitaji kujiamini na kuingia kwa lengo la kwenda kutafuta magoli zaidi.
Nategemea pep ataingia na approach ya kutawala mchezo zaidi, kudictate pace ya game na kuwa aggresive golini kwao. Sitegemei kurudia makosa yaleyale ya msimu uliopita ya kumuogopa mpinzani.
We have to conquer them.
Wako vizuri lakini haimaanishi twende kwa mentality ya kudefend. Inatakiwa tuingie tukiwa na mindset ya kwenda kutafuta magoli kama wao watakavyoingia kwa lengo la kulipa goli 3, rusha ngumi nirushe teke.Kumdominate bayern si kazi rahisi. Kumbuka bayern pia yupo vizuri katika kumiliki mali kutengeneza nafasi.
Wachezaji wao wana nguvu za kukimbia dakika zote 90 na wana viungo wanaotengeza nafasi kibao kila mechi hapo hujaongelea quality ya sub. Kitu pekee City ana advantage over Bayern ni City wana jini Haaland bayern hawana clinical finisher.
Naona City akipata goli kabla ya Bayern itafanya game kuwa rahisi. Otherwise it will be an all-out-war in Munich.
Bayern leo watakuja kwa nguvu zote na wanaweza wakatikisa nyavu zetu pia.Leo pep sijui ataingia na approach gani, hii mechi inabidi achange karata zake vizuri tusije kunyang'anywa tonge mdomoni maana kwa bayern leo itakua ni all out war.
Msimu uliopita kwenye mechi ya second leg ya real, pep aliingia na semi-defensive approach ambayo ilitukost tukawa tunapigapiga pasi tu bila aggressiveness yeyote kulinda ushindi wa 4-3.Kuwaruhusu bayern wakae na mpira itakua ni kosa sababu wana uwezo mkubwa wa kufungua safu ya ulinzi ya timu pinzani hata game ya kwanza walikua na threat kubwa sana golini kwetu.
Kinachotakiwa ni kuingia kwa lengo la kuhakikisha tunatafuta magoli kwa sababu chini ya Tuchel, defense ya bayern haija settle kabisa hivyo sioni kama tunaweza kukosa chochote kama tutapandisha mipira kwenda golini kwao.
Kwenye game kama hizi, micro analysis na overthinking ya pep ndio huwa vinatuangusha.Defensive game itakuwa ni bad move, hatutakiwi kuingia kwa kuwaogopa, tunahitaji kujiamini na kuingia kwa lengo la kwenda kutafuta magoli zaidi.
Nategemea pep ataingia na approach ya kutawala mchezo zaidi, kudictate pace ya game na kuwa aggresive golini kwao. Sitegemei kurudia makosa yaleyale ya msimu uliopita ya kumuogopa mpinzani.
We have to conquer them.
Pep game za second leg huwa anayakoroga mwenyewe, huwa ana overthink na hii imekua trend yake toka alipokuja city.Bayern leo watakuja kwa nguvu zote na wanaweza wakatikisa nyavu zetu pia.
Cha muhimu ni kuhakikisha hatukai kinyonge, tuwaonyeshe kwamba bado tunaweza kuwadhuru palepale kwao, tujiamini na tucheze mpira wetu wa siku zote.
Atakua kajifunza, sidhani kama yuko tayari kufanya tactical risks this time.Kwenye game kama hizi, micro analysis na overthinking ya pep ndio huwa vinatuangusha.
Hii game tunakushika shati ukikaa vibaya hapohapo kwako unachezea.Tutakutana hapa baada ya mechi, mpira una maajabu yake ila nitashangaa sana kama sisi Bavarians tutawatoa man city...Gute Nacht.
Leo nadhani ataanza na line up ileile iliyoshinda 3 pale etihadPep game za second leg huwa anayakoroga mwenyewe, huwa ana overthink na hii imekua trend yake toka alipokuja city.
Hawezi kustick kwenye basics, ngoja leo tuone.