Mechi ya Arsenal ni must win kama kweli tuna ndoto za treble.
Ukiangalia ratiba yetu namna ilivyo tight (epl +ucl) utagundua kuna uwezekano mkubwa wa kudondosha points kwenye ligi.
Tukimfunga arsenal atleast kutakuwa na room for errors maana hata ikitokea kuna mechi tutapigwa au kudraw, tunakua bado tuna nafasi ya kurudi on top of the table sababu still tuna game 2 za viporo.
Arsenal akipata hata draw tu itakua ni wakati mgumu kwetu maana itatulazimu tushinde mechi zote zilizobaki, kitu ambacho ni kigumu kwa kuzingatia namna ratiba yetu ilivyo.