Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimu huu city hatuna hata shaka wanaotupigania ni wengi ukweli ni huu Arsenal kwa Newcastle hachomoki.Kwa hawa newcastle Arsenal ana kibarua.
Wameingia wenyewe kwenye kinyongeo wasitulaumu.Manyumbu wamekuja final
uwe na akiba ya manenoNdio, mpira unadunda sikatai, lakini ndio tukafungwe na nyumbu ya magwaya kweli? never.
Kombe la kwanza hilo tushatangaza bado kukabidhiwa tu.
Sawa, maana mzee webb hakawii kufanya yake.uwe na akiba ya maneno
View attachment 2597540