The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwa perfomance ya mahrez jana, pep atakuwa anakuna kichwa amuanzishe nani kati ya bernado na mahrez mechi ya jumatano.
 
Nyumbu bado wanahangaishana na brighton huko hadi extra time sahivi, yeyote akayepita hapa hana chake.
 
Hii minyumbu ije tuipasue na beki zao vichomi.
Angekuja brighton angetusumbua lakini nyumbu, kombe la kwanza tayari ilo.
 
Ndio, mpira unadunda sikatai, lakini ndio tukafungwe na nyumbu ya magwaya kweli? never.

Kombe la kwanza hilo tushatangaza bado kukabidhiwa tu.
 
FA cup tumeshamalizana nayo, nyumbu siwahesabu kama wapinzani.

Ligi tumfunge arsenal kwanza tumalize biashara, sioni wa kuchukua point kwa watakaofata.

Baada ya hapo tupambane na UEFA sasa afe kipa afe beki.

Treble loading......
 
Nyumbu huko na wao wanawaza watabeba FA beki maguire striker weghost na sancho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pep Guardiola: "Wednesday is a final against the best team in England so far, five points ahead. Hopefully all of Manchester will be blue and can support us. We need incredible noise from the first minute - I know which opponent we're going to play..."
 
Nyumbu wamejileta wenyewe tushindwe sasa kuwashindilia msumari wa moto
Kwa beki yao ile magwaya tutawapiga 6
Haaland Ballon dor coming soon[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Arsenal angekua serious na kombe, alitakiwa aje etihad anaongoza kwa tofauti ya pointi 11 (game zote 3 walizodroo zilikua mikononi mwao)

Lakini anakuja kwa gap la point 5 tu.
Hapo hatuna cha kuwasaidia, wamechezea shilingi kwenye tundu la choo.
 
It's going to be the first Manchester derby in the FA cup final.
 
Mechi ya Arsenal ni must win kama kweli tuna ndoto za treble.

Ukiangalia ratiba yetu namna ilivyo tight (epl +ucl) utagundua kuna uwezekano mkubwa wa kudondosha points kwenye ligi.
Tukimfunga arsenal atleast kutakuwa na room for errors maana hata ikitokea kuna mechi tutapigwa au kudraw, tunakua bado tuna nafasi ya kurudi on top of the table sababu still tuna game 2 za viporo.

Arsenal akipata hata draw tu itakua ni wakati mgumu kwetu maana itatulazimu tushinde mechi zote zilizobaki, kitu ambacho ni kigumu kwa kuzingatia namna ratiba yetu ilivyo.
 
Back
Top Bottom