Vampios TEKASHI
Senior Member
- Apr 22, 2023
- 136
- 106
Legend mwenyewe.Sergio Aguero kasema iwapo tutabeba ubingwa mwaka huu, atakuwepo siku ya kukabidhiwa akiwa ndani uzi kamili wa city kama alivyofanya Qatar Argentina walipobeba WC.
A real Cityzen.
Kuumia kwa Ake ni tatizo lingine. Leo Saka atakuwa huru sana mtu aliekuwa anaweza kumkaba ipasavyo alikua Ake na leo hayupo. Acha tuone Lapoerte ata-deliver performance ganiKwa perfomance ya mahrez, pep saivi atakua anakuna upara tu nani amuanzishe.
Wana ufanano kwenye baadhi ya maeneo (wote ni ball carriers) ila kulingana na approach za pep mwenyewe lazima kuna mmoja anafiti zaidi kwenye approach fulan kuliko mwingine.
Bernado ni mzuri kuliko mahrez linapokuja suala la collective defending na anacover space kubwa kuliko mahrez.
Mahrez ni mzuri kuliko bernado kwenye kufanya transitions kwaiyo hapo ni pep mwenyewe itategemea atakuja na approach gani.
Arsenal ni hatari kwenye wings zao wana saka, martinelli na backline yetu ina pure center backs, kwaiyo watahitajika mawinga kushuka chini on both flanks kuja kusaidia ukabaji. Mbavu ya kushoto kuna grealish kwaiyo mbavu ya kulia automatically ataanza bernado sababu ana work rate kubwa kama grealish hasa kwenye suala la kushuka chini kukaba, mahrez huwa anabaki juu.Mahrez mechi iliopita aliuwasha sana nadhani leo pep ataanza na Mahrez badala ya Bernado
DuuuhPep hawezi kubadili approach, kikosi leo ni kilekile ukiacha ake.
Grealish......Haaland......Bernado
Gundogan.......Rodrigo.....KDB
Laporte...Dias....Stones....Akanji
..._______Ederson
I've said the same thing.Arsenal ni hatari kwenye wings zao wana saka, martinelli na backline yetu ina pure center backs, kwaiyo watahitajika mawinga kushuka chini on both flanks kuja kusaidia ukabaji. Mbavu ya kushoto kuna grealish kwaiyo mbavu ya kulia automatically ataanza bernado sababu ana work rate kubwa kama grealish hasa kwenye suala la kushuka chini kukaba, mahrez huwa anabaki juu.
Laporte atasaidiwa na grealish timu ikiwa chini, ila kwenye transitions hapo ndipo shida inapokuja.Kuumia kwa Ake ni tatizo lingine. Leo Saka atakuwa huru sana mtu aliekuwa anaweza kumkaba ipasavyo alikua Ake na leo hayupo. Acha tuone Lapoerte ata-deliver performance gani
Tukubali tu, leo saka atakua na kazi nyepesi tofauti na ambavyo ake angekuwepo.Kuna pundits wanasema pep amuweke walker left back kupambana na speed ya saka kwenye movements.
Kama inshu ni speed, Ake alimficha saka na hana speed.
In my opinion, naamini laporte anaweza kucheza hapo vizuri tu, si lazima kuwa na speed kumzuia mtu kama saka, defensive brilliance & anticipation ndio vitu vya muhimu.
Ngoja tuone itakavyokua, laporte anaweza kutuprove wrong.Tukubali tu, leo saka atakua na kazi nyepesi tofauti na ambavyo ake angekuwepo.
Kajipoze zile fimbo 4 za jana kwanza.Leo mna chapwa amta amini .vichwa vyenu vina waza UCl ndo kitu City mko desperate kukipata mki jitahidi sana mta beba FA kwakua nyumbu nae kapoteana apa kati
Naona leo wachambuzi wana tip sana saka kudestroy ule upande sababu ya ake kutokuwepo.Ngoja tuone itakavyokua, laporte anaweza kutuprove wrong.
Akanji sik akiwa vzr game ikamkubal utampenda mwnyw.Pep hana imani na laporte kaamua kumrisk akanji.