The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwa perfomance ya mahrez, pep saivi atakua anakuna upara tu nani amuanzishe.

Wana ufanano kwenye baadhi ya maeneo (wote ni ball carriers) ila kulingana na approach za pep mwenyewe lazima kuna mmoja anafiti zaidi kwenye approach fulan kuliko mwingine.
Bernado ni mzuri kuliko mahrez linapokuja suala la collective defending na anacover space kubwa kuliko mahrez.

Mahrez ni mzuri kuliko bernado kwenye kufanya transitions kwaiyo hapo ni pep mwenyewe itategemea atakuja na approach gani.
Kuumia kwa Ake ni tatizo lingine. Leo Saka atakuwa huru sana mtu aliekuwa anaweza kumkaba ipasavyo alikua Ake na leo hayupo. Acha tuone Lapoerte ata-deliver performance gani
 
Mahrez mechi iliopita aliuwasha sana nadhani leo pep ataanza na Mahrez badala ya Bernado
Arsenal ni hatari kwenye wings zao wana saka, martinelli na backline yetu ina pure center backs, kwaiyo watahitajika mawinga kushuka chini on both flanks kuja kusaidia ukabaji. Mbavu ya kushoto kuna grealish kwaiyo mbavu ya kulia automatically ataanza bernado sababu ana work rate kubwa kama grealish hasa kwenye suala la kushuka chini kukaba, mahrez huwa anabaki juu.
 
I've said the same thing.
Bernado leo ataanza kwa sababu hiyo kama ilivyokua kwenye mechi ya bayern.
 
Arsenal hana bahati. Anakutana na wanaume ambao wana uzoefu wa kutosha na mechi za aina hii na wako kwenye form.
Kibaya zaidi anakutana nao kwenye geto lao.

Sioni timu pale ya kuzuia chuma tatu swaafi zisiingie.
Sioni timu pale ya kuondoka hata na pointi 1 tu. Kuna watu watadanganyana mpira unadunda, mpira etihad huwa haudundi guys.
 
Mwamba tayari kashakula karanga na mihogo mibichi
1682519168321.jpg
 
Kuumia kwa Ake ni tatizo lingine. Leo Saka atakuwa huru sana mtu aliekuwa anaweza kumkaba ipasavyo alikua Ake na leo hayupo. Acha tuone Lapoerte ata-deliver performance gani
Laporte atasaidiwa na grealish timu ikiwa chini, ila kwenye transitions hapo ndipo shida inapokuja.
 
Kuna pundits wanasema pep amuweke walker left back kupambana na speed ya saka kwenye movements.

Kama inshu ni speed, Ake alimficha saka na hana speed.

In my opinion, naamini laporte anaweza kucheza hapo vizuri tu, si lazima kuwa na speed kumzuia mtu kama saka, defensive brilliance & anticipation ndio vitu vya muhimu.
 
Kama pep akianza na mahrez basi itabidi aanze na walker pia RB.
Maana huo upande ndio utakua exposed muda mwingi kama mahrez akianza.
 
Kuna pundits wanasema pep amuweke walker left back kupambana na speed ya saka kwenye movements.

Kama inshu ni speed, Ake alimficha saka na hana speed.

In my opinion, naamini laporte anaweza kucheza hapo vizuri tu, si lazima kuwa na speed kumzuia mtu kama saka, defensive brilliance & anticipation ndio vitu vya muhimu.
Tukubali tu, leo saka atakua na kazi nyepesi tofauti na ambavyo ake angekuwepo.
 
Leo mna chapwa amta amini .vichwa vyenu vina waza UCl ndo kitu City mko desperate kukipata mki jitahidi sana mta beba FA kwakua nyumbu nae kapoteana apa kati
 
Leo mna chapwa amta amini .vichwa vyenu vina waza UCl ndo kitu City mko desperate kukipata mki jitahidi sana mta beba FA kwakua nyumbu nae kapoteana apa kati
Kajipoze zile fimbo 4 za jana kwanza.
Tunabeba makombe yote.
 
Back
Top Bottom