Sasa unaumia nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TUSIJISAHAULISHE
MAKOMBE YOTE
FULHAM MAKOMBE 22
MAN CITY MAKOMBE 18
Kama mmesha notice, city nowdays imekua hatari zaidi inapocheza na aggressive teams.Tulikuwa tushaanza kutetereka baada ya fulham kusawazisha.
Kipindi cha pili ambapo watafunguka zaidi nadhan tutaanza kucheza direct balls za kutosha kwenda kwa haaland huku alvarez akitrail kwa nyuma sababu fulham the more watafunguka, the more wataachia space nyuma.
Seriously hii approach inahitaji team zinazotoka nyuma, hawa sababu washatoboka, kazi wanayoTulikuwa tushaanza kutetereka baada ya fulham kusawazisha.
Kipindi cha pili ambapo watafunguka zaidi nadhan tutaanza kucheza direct balls za kutosha kwenda kwa haaland huku alvarez akitrail kwa nyuma sababu fulham the more watafunguka, the more wataachia space nyuma.
Sasa unaumia nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu teseka taratibui huko.
Poleeeee wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunawapasua leo nyie Mwacity
Fulham na Real Madrid ni ndugu π€π€π€π€