Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
Hawa tungekutana nao hata keshoMadrid huko nako wanazidi kutafutana tu, vinn Jr na rodrygo injury patamu hapo.
Uefa sahauNi mwendo wa kubesabu tu wala hatuna baya na mtu.
Ligi tunahitaji mechi 5 tumalize mchezo.
EPL 5 matches
FA 1 match
UEFA 3 matches
Total 9 matches
Treble loading..........
Acha tukaze msuli tufike hapo, hard work forever pays.Unprecedented treble [emoji23][emoji23]
Utajinyonga bure, city hii hamna kombe itaacha kubeba.Uefa sahau
Endeleeni kuwadharau, nyie hamjawahi kuchukua hata kikombe Cha uefa! Mlifika fainaliHawa tungekutana nao hata kesho
Wewe ni nyumbu nini maana nyumbu ndio wanateseka kuona rekodi yao inaenda kuvunjwa.Uefa sahau
Pole sana, ni lini mlichukua kikombe c ha uefa?Utajinyonga bure, city hii hamna kombe itaacha kubeba.
na modricMadrid huko nako wanazidi kutafutana tu, vinn Jr na rodrygo injury patamu hapo.
Mjmj ni Madrid sishabikii timu za England. Mimi ni Madrid tangu 2002. Ndani ya miaka 21 tumechukua vikombe vingap vya uefa?? Hesabu hapo! Acha kukurupukaWewe ni nyumbu nini maana nyumbu ndio wanateseka kuona rekodi yao inaenda kuvunjwa.
Tuliza wenge sasa tuje tukupasue.Mjmj ni Madrid sishabikii timu za England. Mimi ni Madrid tangu 2002. Ndani ya miaka 21 tumechukua vikombe vingap vya uefa?? Hesabu hapo! Acha kukurupuka
Kufungwa na Chelsea sio guarantee ya kufungwa na Madrid pia, kaa kwa kutulia tuje tukunyooshe.Endeleeni kuwadharau, nyie hamjawahi kuchukua hata kikombe Cha uefa! Mlifika fainali
mkafungwa na Chelsea.Leo hii mnaanza kujigamba
Broo mbona kama unaweweseka hivi?.... Tulia may 9 tukupe unachostahili halafu June urudi humu kuja kuniuliza hili swali.Pole sana, ni lini mlichukua kikombe c ha uefa?