The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ni mwendo wa kubesabu tu wala hatuna baya na mtu.

Ligi tunahitaji mechi 5 tumalize mchezo.

EPL 5 matches
FA 1 match
UEFA 3 matches

Total 9 matches

Treble loading..........
 
Wewe ni nyumbu nini maana nyumbu ndio wanateseka kuona rekodi yao inaenda kuvunjwa.
Mjmj ni Madrid sishabikii timu za England. Mimi ni Madrid tangu 2002. Ndani ya miaka 21 tumechukua vikombe vingap vya uefa?? Hesabu hapo! Acha kukurupuka
 
Endeleeni kuwadharau, nyie hamjawahi kuchukua hata kikombe Cha uefa! Mlifika fainali
mkafungwa na Chelsea.Leo hii mnaanza kujigamba
Kufungwa na Chelsea sio guarantee ya kufungwa na Madrid pia, kaa kwa kutulia tuje tukunyooshe.
 
Back
Top Bottom