Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
Na sergio gomez, hamna kitu pale.Huyu kalvin phillips inabidi auzwe summer, mfumo wa city umemkataa inabidi tutafute back up DM mwingine.
Ikitokea rodri kaumia sasa hivi itakua mtafutano.
Nathan ake, Grealish, hawa hawakuwa na impact ya moja kwa moja wakati wanakuja lakini angalia sasahivi, ndio regular starters na tegemeo, Hakuna aliyetegemea ake atakuja kumnyima namba cancelo na laporte.Huyu kalvin phillips inabidi auzwe summer, mfumo wa city umemkataa inabidi tutafute back up DM mwingine.
Ikitokea rodri kaumia sasa hivi itakua mtafutano.
Kwa sergio gomez hata mimi nakubaliana na wewe sababu tayari tupo sokoni kutafuta left back mwingine.Na sergio gomez, hamna kitu pale.
Binafsi sioni chochote kwa phillips pale city even at the future.Nathan ake, Grealish, hawa hawakuwa na impact ya moja kwa moja wakati wanakuja lakini angalia sasahivi, ndio regular starters na tegemeo, Hakuna aliyetegemea ake atakuja kumnyima namba cancelo na laporte.
Apewe muda atleast msimu ujao wote tuone evolution yake anaweza ku adapt vizuri kwenye mfumo.
Kulikua na tetesi liverpool, aston villa na leeds wanamtaka.Huyu kalvin phillips inabidi auzwe summer, mfumo wa city umemkataa inabidi tutafute back up DM mwingine.
Ikitokea rodri kaumia sasa hivi itakua mtafutano.
Bado nina imani nae anaweza kuadapt style yetu cha muhimu apate muda mwingi tu wa kucheza hasa kipindi cha preseason, let's be patientBinafsi sioni chochote kwa phillips pale city even at the future.
Huyu si kulikua na tetesi kua atauzwa? na tumeanza kumfatilia kephrin thuram wa nice kama replacement yake.Bado nina imani nae anaweza kuadapt style yetu cha muhimu apate muda mwingi tu wa kucheza hasa kipindi cha preseason, let's be patient
Yeah ni rumours tu, ngoja tuone.Huyu si kulikua na tetesi kua atauzwa? na tumeanza kumfatilia kephrin thuram wa nice kama replacement yake.
Anastahili.John Stones has been named the Etihad player of the month.
Ligi inamaajabu hii unaweza shangaa na leo wakalambishwa mchanga.Leo arsenal anacheza na wale wagema ulanzi wa darajani, akishinda anaenda kufungasha virago vyake alivyosahau pale kileleni maana kesho wanaume ndio tunahamia rasmi.
Arsenal leo atashinda ili waende kutushafishia uchafu wao pale juu sababu kesho wanaume tunaingia mazima.Ligi inamaajabu hii unaweza shangaa na leo wakalambishwa mchanga.
Arsenal atashinda leo, in any way sisi tunafocus na mechi zetu.Ligi inamaajabu hii unaweza shangaa na leo wakalambishwa mchanga.