The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huyu kalvin phillips inabidi auzwe summer, mfumo wa city umemkataa inabidi tutafute back up DM mwingine.
Ikitokea rodri kaumia sasa hivi itakua mtafutano.
Nathan ake, Grealish, hawa hawakuwa na impact ya moja kwa moja wakati wanakuja lakini angalia sasahivi, ndio regular starters na tegemeo, Hakuna aliyetegemea ake atakuja kumnyima namba cancelo na laporte.

Apewe muda atleast msimu ujao wote tuone evolution yake anaweza ku adapt vizuri kwenye mfumo.
 
Binafsi sioni chochote kwa phillips pale city even at the future.
 
Huyu kalvin phillips inabidi auzwe summer, mfumo wa city umemkataa inabidi tutafute back up DM mwingine.
Ikitokea rodri kaumia sasa hivi itakua mtafutano.
Kulikua na tetesi liverpool, aston villa na leeds wanamtaka.
 
Ila haaland bana, kuna video inamuonyesha anajamba mbele ya goretzka wakati wanasubiri kona [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado nina imani nae anaweza kuadapt style yetu cha muhimu apate muda mwingi tu wa kucheza hasa kipindi cha preseason, let's be patient
Huyu si kulikua na tetesi kua atauzwa? na tumeanza kumfatilia kephrin thuram wa nice kama replacement yake.
 
Bernado kawekewa valuation ya € 75m.
Timu itakayolipa hiyo pesa itamchukua.
 
Bernado
Gundogan
Laporte

Hawa kuna uwezekano mkubwa wataondoka
 
Nathan ake has resumed training but there were no signs of Kevin De Bruyne in the club's latest training photos.
 
John Stones has been named the Etihad player of the month.
 
Pep on Ake and De bruyne.

"Nathan trained with us yesterday and feels better. Kevin has started to move but he has not trained"

"We will have another (training) at 4pm so we will see"
 
Leo arsenal anacheza na wale wagema ulanzi wa darajani, akishinda anaenda kufungasha virago vyake alivyosahau pale kileleni maana kesho wanaume ndio tunahamia rasmi.
 
Leo arsenal anacheza na wale wagema ulanzi wa darajani, akishinda anaenda kufungasha virago vyake alivyosahau pale kileleni maana kesho wanaume ndio tunahamia rasmi.
Ligi inamaajabu hii unaweza shangaa na leo wakalambishwa mchanga.
 
Back
Top Bottom