Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Hilo koti bei yake ni bajeti ya wizara ya ulinzi ya nchi yako.Mbona kavaa kihunihuni utadhani jambaz. Ndo maana aligongewa na kumnyang'anywa demu na kipa wa Madrid. Ana kinyongo naye hadi leo.
Leeds ni wachovu sana ,Sam Allardyce hatowasaidia kitu kwa leo.Jamaa kipindi cha yule Garcia hata wakiweka deep block midfield yao inapitika kirahisi, wakiamua kuja kupress wanakosa unity wanakuwa exposed, leo sam atatupa challenge mpya.
Kwasababu ya game ya madrid, wakishakufa tatu zinawatosha vifaa vipumzike.Leeds ni wabovu sana kwenye set pieces both defending and attacking, hawawezi kupress, hawawezi kucheza deep block yani wapowapo tu.
Ujio wa big sam labda utabadilisha mambo lakini hii leeds tunaweza tukaipiga hata 8.
Vipigo vya rejareja [emoji23][emoji23]Ubaya sasa ni kwamba pale etihad hatutoagi vipigo vidogo, vipigo vya rejareja pale etihad pep kashavipiga marufuku.
Livescore nimeona wamepanga hivi.Alvarez................Haaland
Foden........KDB.........Gundogan......Mahrez
Ake........laporte.........Akanji...........lewis
Ederson
Rico lewis ndio atakua anapanda kwenye midfield nyuma wanabaki ake laporte na akanji.Livescore nimeona wamepanga hivi.
Haaland
Foden.......Alvarez.....Gundogan....Mahrez
Laporte.........Kdb
Ake........Akanji.........Lewis
......ederson
4:2:3:1
Na gundo ndiye holding midfielder sio kdb.,Rico lewis ndio atakua anapanda kwenye midfield nyuma wanabaki ake laporte na akanji.
Lewis hawez Kubaki kwenye back 3.
Inabidi kuua game mapema tujiandae na wale jamaaPoint tunazibeba mapema hizi
HahahahaNimesoma Fabrizio Romano leo wanaripoti kwamba wachezaji wa Madrid wiki nzima chakula chao kikuu ni tende +maziwa, mihogo + samaki wa kukaanga + nazi mbata, karanga mbichi + matikiti na maji kwa wingi tu sijui week ijayo Wana shughuli gani.