The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Haaland huwa anapotea hivihivi ila baadae mnamkuta kambani,
We are going to make a comeback.
 
Yani hilo goli watu wanaona Madrid kashashinda ngojeni muone
 
Hii timu ina mashabiki wasio na uelewa wowote kuhusu mpira

Wengi wao watoto wa 2000

Hata wewe ungezaliwa 2000 ni nadra sana kuwa man utd , watu wanapenda kile kizuriii na kuzaliwa 2000 haimanishiii hawajuiii mpira ni sawa na wewe uzaliwe 1995 halafu mwaka 2018 ukawa shabiki arsenal liverpool or man utd tukuambie hauna uelewa wa mpira .. madogo wa 2000 wana haki ya kushabikia man city maana wamezaliwa wakaiona ni bora kama ilivyokuwa wewe na timu yako
 
Tukipoteza hii game utakua ujinga wa kiwango cha lami, madrid wanacheza kimkakati sie tunapaka rangi tu.
 
Funguken sasa hivi tuwafirimbe nne mbwavkoko nyie
Na mechi yaleo ni 4 bila hawato amini na overload zao wanawachekaga arsenal kwa majigambo..ni zamu yao na halland wao...

You can take away the possessions boss...but I'll bag off the points ...thats how mafiadrid wins this cup... Monster mentality...what?....experience...what? Halla Madrd [emoji836]
 
Hakuna kocha namuogopa Ulaya kama anceloti...bila yeye Liverpool angekuwa bingwa champions League zaidi ya tatu under Klopp..
Ni kocha hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…