Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
utulivu ni kitu cha muhi.mu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapuuzi wanaziwia watano nyuma wamegoma kupishana na sisi kabisa😃utulivu ni kitu cha muhi.mu
Yeah, Madrid ndio alivyo, kama unamfunga mwisho wa mechi anashinda.City ikirudigi half time inakuja kivingine. Pep's masterclass incoming. Ushindi upo hapa.
Angalia isije muda kuamua matokeo ambayo ni mabaya kwa timu yakoMkuu bado mapema sana
Kama tungeanza kufunga sisi ingekua habari ingine anyway ngoja tuone second half pep atakuja vipiYeah, Madrid ndio alivyo, kama unamfunga mwisho wa mechi anashinda.
Marehemu (City) alikua na mdomo sana.Yani hilo goli watu wanaona Madrid kashashinda ngojeni muone
Hii timu ina mashabiki wasio na uelewa wowote kuhusu mpira
Wengi wao watoto wa 2000
Na mechi yaleo ni 4 bila hawato amini na overload zao wanawachekaga arsenal kwa majigambo..ni zamu yao na halland wao...Funguken sasa hivi tuwafirimbe nne mbwavkoko nyie