The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

"Madrid winning uefa it was written on the stars... Just like
Arsenals winning the epl"
 
Kuna comment nikizisoma humu nacheka tu, huyu madrid hana chake etihad.
 
Madrid hucheza kwa kujiamini zaidi ugenini!! Ifahamike kuwa EUFA ilishaachana na faida ya goli la ugenini! Kumbukeni kilichowatokea liverpool wakati iko kwenye top form! Madrid waache kama walivyo!!
Sawa ile ni Liver na hii ni man city timu 2 tofauti kuanzia kocha mpaka wachezaji
 
Sisi kama madrid tunasema hatuna tunachowadai wachezaji kwani washamaliza kila kitu.. hivo tukutane fainali vs ac milan
Asante [emoji120]
 
Hizi ndio game za kiume sasa sio kukaa tunacheza na kina arsenal kupotezeana muda tu.
 
Hii game ilikua na pressure sana, a hard fought draw.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…