Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ile ni Liver na hii ni man city timu 2 tofauti kuanzia kocha mpaka wachezajiMadrid hucheza kwa kujiamini zaidi ugenini!! Ifahamike kuwa EUFA ilishaachana na faida ya goli la ugenini! Kumbukeni kilichowatokea liverpool wakati iko kwenye top form! Madrid waache kama walivyo!!
Mimi naona refa alikuwa lenient sana. Kuna rafu za yellow card za waziwazi alizipotezea both teamsHata hivyo naona refa maamuzi mengi ya 50/50 anawapa city
Jidanganyeni sio kwa City hii ikiwa EtihadMadrid hucheza kwa kujiamini zaidi ugenini!! Ifahamike kuwa EUFA ilishaachana na faida ya goli la ugenini! Kumbukeni kilichowatokea liverpool wakati iko kwenye top form! Madrid waache kama walivyo!!