The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep anaogopa kufanya sub sijui kwanin ...

Upo na Mahrez ,foden ...Bado unaigopa kuweka vyuma ...

Jack anarudi nyuma kukaba lakin hana skills za defence anaachia mikono Sana ....nilikuwa namuona kama ataenda kusababisha penalty....
 
Bernado silva alikuwa anajiamin Sana mpaka anapoteza mipira kizembe
......

Ederson naona kazid kujiimarisha Sasa ,anakomaa mdogo mdogo ,zile saves sio mchezo ...
 
Pep psychologically kama vile anakosaga utulivu tunapotanguliwa ,anakuwa na hofu ,may be alijifunza last year zile sub alizofanyaga akaboronga ,anashindwa kujilipa na kufanya changes ...

Carlo anafanya sub ,but pep kakomaa ....
 
ukweli ni kwamba Madrid hana amani wakina carvajal rafu kibao kwa gundogan ***** pale etihadi utawaka moto
 
kdb alitaka vunja mkono wa kipa next time Madrid utawaonea huruma walishazoea vurugu
 
Yule anawakaga kwenye away games mkuu...
Nadhani unajua hapo kwenu hata umfunge madrid magoli mangapi na yeye atakufunga tu... Aggregate zitaongea siku hio
Tuongelee gem hii, maana hata haaland hujui atawafanya nini pale etihad.
 
Leo pep nahisi kaogopa kufanya sub ,last year alijichanganya kafanya sub dakika za mwisho ,tukapigwa goli 2 za faster ...
 
IMG_5599.jpg

Rose Mhando
Mpira ulitoka kabisa
Lkn mtatoka tu
 
Back
Top Bottom