The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Grealish alikuwa kashaweka mikono kwenye mwili ,hata mpira uguse mkono sio foul ...kashaficha mkono ....

Mnaangalia mpira hata kujua mpira hamjui .....kashabikieni mieleka ..
Grealish ameshika mpira zaidi ya mara moja, na hilo tukio unalolizungumzia wewe la kuficha mikono limefanyika mara moja.
 
Mkuu usimtumie hasira watalia ni sawa na mwanamke kumnyima muwa wakati umemuoa lazima ataanza vijimaneno hii kitu inawauma Sana City kushiriki makombe yote
 
Grealish ameshika mpira zaidi ya mara moja, na hilo tukio unalolizungumzia wewe la kuficha mikono limefanyika mara moja.
Mpira ulikuwa unaenda kwenye mkono wa jack ambao tayari alishaushikanisha na mwili ,( ball to hand ) ...not foul

Na sio kwamba jack alikuwa katanua mikono harafu mikono ikashika mpira ( hand ball) ..foul

Vitu vidogo kama hivi mnataka mpaka muandikiwe jf ?
 
Man city keisha pita hata lile goli walipata kwa huruma ya ederson maana alibet tusitoe cleensht
 
I'm still wondering kuna watu bado wanasema Madrid anakuja kututoa Etihad.

Kuna vitu kidogo tu tunahitaji kurekebisha then Madrid tunamfanya kama watangulizi wake.
 
f0de690e-f6aa-4968-97b5-3ebce225e2b5.jpg

Lkn mtatoka tu
Hii ni mbeleko ya wazi kabisa
 
Mpira ulikuwa unaenda kwenye mkono wa jack ambao tayari alishaushikanisha na mwili ,( ball to hand ) ...not foul

Na sio kwamba jack alikuwa katanua mikono harafu mikono ikashika mpira ( hand ball) ..foul

Vitu vidogo kama hivi mnataka mpaka muandikiwe jf ?
Hivi we unaona hapo umeandika kitu kigeni sana ambacho wengine hatukijui?

Umesoma maelezo yangu ukayaelewa au ndio kupenda ligi tu?
 
I'm still wondering kuna watu bado wanasema Madrid anakuja kututoa Etihad.

Kuna vitu kidogo tu tunahitaji kurekebisha then Madrid tunamfanya kama watangulizi wake.
Clinical finishing, composure, confidence, game tunamaliza mapema tu.

Kiuchezaji tumejitahidi, tumekosa tu utulivu na kujiamini.
 
Labda mchukue tebo
Arsenal bingwa EPL
Madrid bingwa UCL
Man City vs Man U FA anachukua yyt
Huyu ni shabiki wa Liverpool ambaye mwaka Jana tumemtesa mateso makubwa zaidi ya yesu pale goligota msalabani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu ni shabiki wa Liverpool ambaye mwaka Jana tumemtesa mateso makubwa zaidi ya yesu pale goligota msalabani [emoji23][emoji23][emoji23]

Endelea kupiga porojo wkt Liva kachukua kila kombe hapa duniani
Pep mwaka wa 7 yy ni kuwafunga Southampton tu ndiyo anajua

Chukua UCL acha porojo!
Vin ndiyo kuwa atashindwa cheza vizuri Itihad?Mfumo wa sasa wa UCL hamna faida yyt kucheza home au away,sawa tu
 
Toka Madrid awageuze nyuma na kuwagonga goli 5 ,two final back to back mnapigwa na Madrid saizi naona umeamua kuwa shabiki [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa nacheka sana porojo za Man City!
Mfumo wa sasa UCL hakuna faida yyt ucheze home au away!
Hivi ina maana Vin na Rodrigo na Benzema watashindwa kucheza vyema Itihad sababu tu ni Itihad?
Porojo zingine hazina maana yyt,Madrid huwezi mtoa nusu final UCL,hauna team hiyo
Kwa vile alikugonga 5 hapo anfield au ?[emoji23][emoji23][emoji23]

Chogo kama mandege
 
Back
Top Bottom