Grealish ameshika mpira zaidi ya mara moja, na hilo tukio unalolizungumzia wewe la kuficha mikono limefanyika mara moja.Grealish alikuwa kashaweka mikono kwenye mwili ,hata mpira uguse mkono sio foul ...kashaficha mkono ....
Mnaangalia mpira hata kujua mpira hamjui .....kashabikieni mieleka ..
Treble haiepukiki bro.Wanaanza kushtuka mapema sahiv... Treble ni ndoto labda wamfunge man utd fa cup maana pep hawez kubali kutoka trophy less... Hivyo akubali kuachi kati ya hayo 3 achukue 1
Kiroho safi[emoji120]
Mpira ulikuwa unaenda kwenye mkono wa jack ambao tayari alishaushikanisha na mwili ,( ball to hand ) ...not foulGrealish ameshika mpira zaidi ya mara moja, na hilo tukio unalolizungumzia wewe la kuficha mikono limefanyika mara moja.
Hivi we unaona hapo umeandika kitu kigeni sana ambacho wengine hatukijui?Mpira ulikuwa unaenda kwenye mkono wa jack ambao tayari alishaushikanisha na mwili ,( ball to hand ) ...not foul
Na sio kwamba jack alikuwa katanua mikono harafu mikono ikashika mpira ( hand ball) ..foul
Vitu vidogo kama hivi mnataka mpaka muandikiwe jf ?
Clinical finishing, composure, confidence, game tunamaliza mapema tu.I'm still wondering kuna watu bado wanasema Madrid anakuja kututoa Etihad.
Kuna vitu kidogo tu tunahitaji kurekebisha then Madrid tunamfanya kama watangulizi wake.
Treble loading
Three peat loading
hahah! Mkuu bado tu una matumaini na arsenal?Labda mchukue tebo
Arsenal bingwa EPL
Madrid bingwa UCL
Man City vs Man U FA anachukua yyt
Huyu ni shabiki wa Liverpool ambaye mwaka Jana tumemtesa mateso makubwa zaidi ya yesu pale goligota msalabani [emoji23][emoji23][emoji23]Labda mchukue tebo
Arsenal bingwa EPL
Madrid bingwa UCL
Man City vs Man U FA anachukua yyt
Huyu ni shabiki wa Liverpool ambaye mwaka Jana tumemtesa mateso makubwa zaidi ya yesu pale goligota msalabani [emoji23][emoji23][emoji23]
Toka Madrid awageuze nyuma na kuwagonga goli 5 ,two final back to back mnapigwa na Madrid saizi naona umeamua kuwa shabiki [emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kupiga porojo wkt Liva kachukua kila kombe hapa duniani
Pep mwaka wa 7 yy ni kuwafunga Southampton tu ndiyo anajua
Chukua UCL acha porojo!
Vin ndiyo kuwa atashindwa cheza vizuri Itihad?Mfumo wa sasa wa UCL hamna faida yyt kucheza home au away,sawa tu
Kwa vile alikugonga 5 hapo anfield au ?[emoji23][emoji23][emoji23]Huwa nacheka sana porojo za Man City!
Mfumo wa sasa UCL hakuna faida yyt ucheze home au away!
Hivi ina maana Vin na Rodrigo na Benzema watashindwa kucheza vyema Itihad sababu tu ni Itihad?
Porojo zingine hazina maana yyt,Madrid huwezi mtoa nusu final UCL,hauna team hiyo